Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
Leo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko wapi hii mkuu?Shivaz nyuma ya golden rose
Sawa mkuu
Safi sana, mara moja moja mkipata chance mnatokaNyumbani, tumepoa na familia
Ya nini mkuu?HATARI SANA
Nipo mtaa wa home pia natupia mojambilitatuLeo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝
Hawaweze kuja hapa mkuuKuwa makini sasa maex wako wasikukute hapo iwe noma 🤒
Unamhitaji majibu ya namna gani kwa mfano?Leo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝
Sogea pale picnic 😁Shivaz nyuma ya golden rose
Nipo mtaa wa home pia natupia mojambilitatu
[/QUOTESafi mkuu, tuendelee kuongeza pato la taifaNipo mtaa wa home pia natupia mojambilitatu
Nilitegemea kuona hii comment😂Kuwa makini sasa maex wako wasikukute hapo iwe noma 🤒
Hapo ni sehemu mpya eehAliye Kimara ajongee Dagaa dagaa hapa