Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

Ni mjeuri
Kaolewa na wewe afanyaje tu
Lakini haukuwa chaguo lake
Mtu akikupenda hawezi kukosea akikusoea lazima akutake radhi

Yaan kwa ufupi wewe hukuwa hadhi yake ndo hvyo kipindi unapeleka barua ya uchumslba ulimkuta yupo kwenye msoto mkali wa kimaisha

Asikwambie mtu mwanamke maisha yakimchapa kipesa na mapenzi fala yoyote akijitokeza anataka kumuoa atamkubalia
Kimbembe utakikuta ndani
 
Mimi naweza kuomba msamaha hata makosa yasiyo yangu ilimradi tu maugomvi yaishe. Sipendi zengwe ndani kwangu jamani.

Sometimes hata nimekosewa naona tu nisiseme maana mtu amekukosea na anaweza akapanick, akakataa kosa, akakumbushia yako ya zamani, akarudisha yale makosa yawe yako. Nikikumbuka hivyo nakunywa maji yangu nalala.
 
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"

Kwanini?
huyo nafikiri umpandishe cheo tu maana hakuna namna hapo:
arrogant wife
ungrateful wife
rebellious wife
intolerable wife
protagonist wife
antagonist wife

FYEKELEA MBALIIIII
 
Kuna wengine wamekuwa kwao maswala ya kuomba msamaha hayapo.
Kama hakujifunza ukubwani usitegemee kitu.

Mfano mimi nimekua home ukifanya kosa, uombe msamaha ,usiombe fimbo utakula tuu.
Hii inapelekea huoni umuhimu wa msamaha.

Sema nilivyojisocialize zaidi nikaanza kuzoea kuomba msamaha.
 
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"

Kwanini?
Duh...kuna ambao maneno ya kuomba msamaha hayatoki mdomoni, lakini utaona kwa vitendo vyake kuwa she's sorry
Screenshot_20241015_222304_Chrome.jpg
 
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"

Kwanini?
Mwanamke wa kuomba msamaha hajazaliwa bado, labda umshindanishe na mke mwenza atajitutumua ili kugombea nafasi tu, ila itakuwa maigizo tu na sio uhalisia. Mwanamke anataka kuwa mshindi kwa kila mechi.
 
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"

Kwanini?
Wagumu sana hawa viumbe kuomba msamaha. Neno nisamehe kwao ni humu mnooo
 
Jiulize wewe kwanza!
Ukimkosea mkeo unamwomba msamaha?
Lakini si kwa mkeo tu! Vipi hakuna mtu ambaye ulimkosea hujamwomba msamaha mpaka leo?
Labda ni huko kazini,kwenye biashara zako,kwa ndugu zako,kwa majirani,nk
Ukiona hivyo tafuta ambaye ulimkosea kamwombe msamaha!
Baada ya hapo utayaona matokeo!
 
Ni mjeuri
Kaolewa na wewe afanyaje tu
Lakini haukuwa chaguo lake
Mtu akikupenda hawezi kukosea akikusoea lazima akutake radhi

Yaan kwa ufupi wewe hukuwa hadhi yake ndo hvyo kipindi unapeleka barua ya uchumslba ulimkuta yupo kwenye msoto mkali wa kimaisha

Asikwambie mtu mwanamke maisha yakimchapa kipesa na mapenzi fala yoyote akijitokeza anataka kumuoa atamkubalia
Kimbembe utakikuta ndani

Uzi ufungwe
 
Back
Top Bottom