Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"

Kwanini?
Ukimkojoza vyema, ndiyo hapo anapoomba msamaha.
 
Mimi naweza kuomba msamaha hata makosa yasiyo yangu ilimradi tu maugomvi yaishe. Sipendi zengwe ndani kwangu jamani.

Sometimes hata nimekosewa naona tu nisiseme maana mtu amekukosea na anaweza akapanick, akakataa kosa, akakumbushia yako ya zamani, akarudisha yale makosa yawe yako. Nikikumbuka hivyo nakunywa maji yangu nalala.
Makosa yako ni makubwa kuliko yake
 
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"

Kwanini?
Umeforce haupendwi, na huyo mwanamke anaweza kuishi bila wewe na bila shaka ni mama kiboga cha wote
 
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"

Kwanini?

Kabisa, dawa ni moja, akikosea ukathibitisha pasi na Shaka humwonei na akakana kukubali kosa, go silence, kaa kimya, timiza majukumu yako!

Tatizo mnapenda ngono sana hamuwezi Kuwakazia hawa wanawake mda mrefu!
 
Kama mkeo haendani na Waefeso 5:22-33 basi huyo sio wa kufanana na wewe
Waefeso 5:22-23
22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.

23 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
 
Ni mjeuri
Kaolewa na wewe afanyaje tu
Lakini haukuwa chaguo lake
Mtu akikupenda hawezi kukosea akikusoea lazima akutake radhi

Yaan kwa ufupi wewe hukuwa hadhi yake ndo hvyo kipindi unapeleka barua ya uchumslba ulimkuta yupo kwenye msoto mkali wa kimaisha

Asikwambie mtu mwanamke maisha yakimchapa kipesa na mapenzi fala yoyote akijitokeza anataka kumuoa atamkubalia
Kimbembe utakikuta ndani
Ndiyo ukweli
 
Huyo bila shaka atakuwa either mchaga au Mkurya
Haya makabila msamiati wa samahani haupo ndio makuzi yao
Kama ni mchaga atafanya jambo kukuomba radhi mfano anatoa nguo zako anakufulia muda huo huo hata kama hujamuambia.
kwa Mkurya anafanya makusudi umdunde hapo ndio yeye anapata kipimo mume wangu ananipenda
Mila za watu hizi.
Usikilize wanaokuambia eti unagongewa nje sio kweli
 
Binafsi naomba msamaha...
Nisamehe kipenzi changu...
Love you more baba akeeee
 
"basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe"
Hii ni dalili tosha ya kiburi,

Na hapa tatizo sio yeye, tatizo ni wewe, umemjenga kuwa hivyo alivyo, kamwe mkeo hapaswi kuwa na kiburi au dharau kwako.

Chukua hatua.
 
Kuna walio wepesi kusema samahani ila hawamaanishi anakwambia ili kukupa ushindi na kukufanya ujione mfalme tu
 
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"

Kwanini?
Tuambie makosa yake tuyapime kama yanasitaili kukuomba msamaha uo ambao wewe unauitaji, vinginevyo itakuwa mfumo dume unakusumbua mkuu.
 
Mimi naweza kuomba msamaha hata makosa yasiyo yangu ilimradi tu maugomvi yaishe. Sipendi zengwe ndani kwangu jamani.

Sometimes hata nimekosewa naona tu nisiseme maana mtu amekukosea na anaweza akapanick, akakataa kosa, akakumbushia yako ya zamani, akarudisha yale makosa yawe yako. Nikikumbuka hivyo nakunywa maji yangu nalala.
Hongera mpenz
 
We nae una gubu sana chief..sasa hapo ulitaka uombwe msamaha kwa mtu kugalagala chini au mpaka ulambwe miguu?
Me wangu huwa tu ananiambia "Am sorry halitajirudia tena" maisha yanaendelea.
Yaelekea we bado una mambo ya karne ya 10 huko.
 
Back
Top Bottom