muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Ukimkojoza vyema, ndiyo hapo anapoomba msamaha.Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"
Kwanini?
Makosa yako ni makubwa kuliko yakeMimi naweza kuomba msamaha hata makosa yasiyo yangu ilimradi tu maugomvi yaishe. Sipendi zengwe ndani kwangu jamani.
Sometimes hata nimekosewa naona tu nisiseme maana mtu amekukosea na anaweza akapanick, akakataa kosa, akakumbushia yako ya zamani, akarudisha yale makosa yawe yako. Nikikumbuka hivyo nakunywa maji yangu nalala.
Umeforce haupendwi, na huyo mwanamke anaweza kuishi bila wewe na bila shaka ni mama kiboga cha woteMi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"
Kwanini?
Asante PA wa Mungu.Makosa yako ni makubwa kuliko yake
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"
Kwanini?
Kila mtu yeye kwake shwariBasi humu watu watajigeuza ma judge akati ndani kwao wamegeuzwa visukure
Hii ni Wajaleo warudi leo Tanga line moja hiiDuh...kuna ambao maneno ya kuomba msamaha hayatoki mdomoni, lakini utaona kwa vitendo vyake kuwa she's sorry
View attachment 3125981
Waefeso 5:22-23Kama mkeo haendani na Waefeso 5:22-33 basi huyo sio wa kufanana na wewe
Ndiyo ukweliNi mjeuri
Kaolewa na wewe afanyaje tu
Lakini haukuwa chaguo lake
Mtu akikupenda hawezi kukosea akikusoea lazima akutake radhi
Yaan kwa ufupi wewe hukuwa hadhi yake ndo hvyo kipindi unapeleka barua ya uchumslba ulimkuta yupo kwenye msoto mkali wa kimaisha
Asikwambie mtu mwanamke maisha yakimchapa kipesa na mapenzi fala yoyote akijitokeza anataka kumuoa atamkubalia
Kimbembe utakikuta ndani
Hii ni dalili tosha ya kiburi,"basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe"
Ndoa ni upuuzi sana alooMi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"
Kwanini?
Tuambie makosa yake tuyapime kama yanasitaili kukuomba msamaha uo ambao wewe unauitaji, vinginevyo itakuwa mfumo dume unakusumbua mkuu.Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"
Kwanini?
Hongera mpenzMimi naweza kuomba msamaha hata makosa yasiyo yangu ilimradi tu maugomvi yaishe. Sipendi zengwe ndani kwangu jamani.
Sometimes hata nimekosewa naona tu nisiseme maana mtu amekukosea na anaweza akapanick, akakataa kosa, akakumbushia yako ya zamani, akarudisha yale makosa yawe yako. Nikikumbuka hivyo nakunywa maji yangu nalala.