Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

Hapo unataka kupigwa hela mzee..hakuna mwanamke wa kichaga boya kiasi hicho.
 
Tatizo mnaangalia maigizo mnajua ndoa ndio iko hivo
 
Umeongea ukweli mchungu
 
Binti anakufaa mkuu muoe
 
Kuomba msamaha hutegemea na makuzi, na lipo hata kwetu sisi wanaume, mimi kwa kweli sikumbuki lini niliwahi kuomba radhi kwenye ndoa yangu, hivyo kausha maisha yaende.
Kweli mkuu kuna wengine ni chap anaomba msamaha.

Ila huyo wake ni hamuheshimu mwamba au labda jamaa ni mtu wa lawama sana, ana kisirani so ni ngumu kuargue na watu wa namna hiyo.
 
We nae una gubu sana chief..sasa hapo ulitaka uombwe msamaha kwa mtu kugalagala chini au mpaka ulambwe miguu?
Me wangu huwa tu ananiambia "Am sorry halitajirudia tena" maisha yanaendelea.
Yaelekea we bado una mambo ya karne ya 10 huko.
Itakuwa jamaa anapenda sana kunyeyekewa.
 
Kama mke wangu tu
 
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"

Kwanini?
Wana tabia ya kuzunguka sana kabla ya kusema samahani
 
Wana tabia ya kuzunguka sana kabla ya kusema samahani
Mkuu kuna point kubwa sana "MI mwnyw nilishangaa Huyu makotoporo" wangu ni mgumu kuomba msamaha nikadhani ni Huyu tu kumbe wapo wengi!
 
Kweli mkuu kuna wengine ni chap anaomba msamaha.

Ila huyo wake ni hamuheshimu mwamba au labda jamaa ni mtu wa lawama sana, ana kisirani so ni ngumu kuargue na watu wa namna hiyo.

Ukiwa wa lawama sana huwa vigumu kwa watu kukuomba msamaha, kwanza kuna aina ya watu ukimkosea kidogo anafyatuka balaa, hadi inakubidi uwe defensive muda wote.
 
Ukiwa wa lawama sana huwa vigumu kwa watu kukuomba msamaha, kwanza kuna aina ya watu ukimkosea kidogo anafyatuka balaa, hadi inakubidi uwe defensive muda wote.
Wanaume wengi wasiojiamini wako hivyo
 
Nakuelewa, umenena vyema. Mwanamke yeyote uliyempata kwa njia ya fedha, ukawa unampa favours, ukiingia nae ndani ya ndoa hakuna rangi utaacha kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…