Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Pole sana Mkuu, mvua za Mwaka huu zitafanya Wakulima wengi kubaki na madeni

Weekend nimeamua nikapoteze mawazo Mwailubi, nibaki nikashangae watoto wa Chuo mitaa ile 😜
 
Kuna hiki chuma kilitesa sanaaa
Your browser is not able to display this video.
 
Pole sana Mkuu, mvua za Mwaka huu zitafanya Wakulima wengi kubaki na madeni

Weekend nimeamua nikapoteze mawazo Mwailubi, nibaki nikashangae watoto wa Chuo mitaa ile 😜
Mh serious kaka uko mwailubi ? Kama utakuwepo mpaka juma lijalo ukaribie sasa mapacha lounge _songwe .

Leo niko umalila huku na pia mwailubi sipapendi nilitolewa jino na DJ wa hapo kisa nilimuamuru aweke wimbo wa sicheki na wowote akakataa ,nikaanza kumtishia kumpiga ,akaamua kunibamiza
 
Etat major
Losambo
Force de frappe
Top cest trop
Loi
nimekua nikakuta mzee anasikiliza sana hizo ngoma

Nyimbo zote za sam wa ukweli
Cinderella ya ali kiba
Kamwambie ya Diamond
Hi ya prince dully sykes
Nichumu ya Bob junior

Aisee ngoma ni nyingi mnoo
 
Nilijua ni huku nilipo tuu, jua limewaka sana asee
 
Ni minong'ono ya hapa na pale kwamba jay z alihusika kwenye kifo cha Aaliyah
Sijui sana mi nachojua nakapenda sana hako kadada na napenda kazi zake kangekuwepo ningekaoa!, japo sasahivi kangekuwa kanasoma age 40...😅
 
Shangilieni - Tumaini st james
Muchana
Album ya katika viumbe vyote

Rip mzee wangu yule baba alikua mvuta fegi lakini alitaka tukue katika maadili ya kimungu 😥😥
 
KUKU KAPANDA BAISKELI BATA KAVAA RAIZONI-🤣🤣🤣🤣MR NICE NYOKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…