min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
ephen_ hii ngoma ni tamu sana mno hasa kwa sisi kataa ndoa😁😁😁
View: https://youtu.be/1uSw_R6JCMQ?si=kARO1BARRX4ovJ1X
View: https://youtu.be/1uSw_R6JCMQ?si=kARO1BARRX4ovJ1X
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ephen_ hii ngoma ni tamu sana mno hasa kwa sisi kataa ndoa😁😁😁
View: https://youtu.be/1uSw_R6JCMQ?si=kARO1BARRX4ovJ1X
Pole sana Mkuu, mvua za Mwaka huu zitafanya Wakulima wengi kubaki na madeniPole sana kaka .
Mwenzio mwaka huu nilisema nahitaji nilime kiazi cha chipsi kwa large scale nikachukua viakiba vyangu vyote nikatia kwenye kilimo
Na wazee wangu wa kilabuni siwapi tena tips nawaambia subiri nivune tutahamia kwenye bar kubwa ila ninayoyashuhudia najiona nikiacha hata kuwatembelea maana sasa naona aibu na hasara juu
Inasemekana jay z alimu-RIPNitakuwa sijamtendea haki huyu mdada nisipoweka wimbo wake!
View attachment 3262487
Mh serious kaka uko mwailubi ? Kama utakuwepo mpaka juma lijalo ukaribie sasa mapacha lounge _songwe .Pole sana Mkuu, mvua za Mwaka huu zitafanya Wakulima wengi kubaki na madeni
Weekend nimeamua nikapoteze mawazo Mwailubi, nibaki nikashangae watoto wa Chuo mitaa ile 😜
reasons...?Inasemekana jay z alimu-RIP
Ni minong'ono ya hapa na pale kwamba jay z alihusika kwenye kifo cha Aaliyahreasons..
Wanawake nawataka ila ndoa hapana😁😁😁Ni kweli unakataa ndoa au wanawake hawakutaki?
Unaonekana wanawake hawakutaki pole sana!Wanawake nawataka ila ndoa hapana😁😁😁
Nilijua ni huku nilipo tuu, jua limewaka sana aseeHabari ni njema Mkuu
Hizi mvua za Mwaka huu zimenipa hasara sana
Hapa najipanga niende Benki nikakope ili nianze kulima Kwa kumwagilia tu.
Nichimbe Visima vya kutosha shambani kwangu ili niwe na uhakika wa mazao
Otherwise, mnaweza kunikuta natembea naongea pekeyangu barabarani 😜
Sijui sana mi nachojua nakapenda sana hako kadada na napenda kazi zake kangekuwepo ningekaoa!, japo sasahivi kangekuwa kanasoma age 40...😅Ni minong'ono ya hapa na pale kwamba jay z alihusika kwenye kifo cha Aaliyah
Ata hio haipoRadio haikuwepo?
ephen_ Binti yangu namlea vizur tu ila ngoma za zuchu kama hizi anapenda hapo inakuaje
View: https://youtu.be/68__GT8TSAw?si=MwzQoyZJBUHOg8vf
Hakika umezeeka mtu wangu😅😅KUKU KAPANDA BAISKELI BATA KAVAA RAIZONI-🤣🤣🤣🤣MR NICE NYOKO