Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Pole sana kaka .
Mwenzio mwaka huu nilisema nahitaji nilime kiazi cha chipsi kwa large scale nikachukua viakiba vyangu vyote nikatia kwenye kilimo
Na wazee wangu wa kilabuni siwapi tena tips nawaambia subiri nivune tutahamia kwenye bar kubwa ila ninayoyashuhudia najiona nikiacha hata kuwatembelea maana sasa naona aibu na hasara juu
Pole sana Mkuu, mvua za Mwaka huu zitafanya Wakulima wengi kubaki na madeni

Weekend nimeamua nikapoteze mawazo Mwailubi, nibaki nikashangae watoto wa Chuo mitaa ile 😜
 
Kuna hiki chuma kilitesa sanaaa
 
Pole sana Mkuu, mvua za Mwaka huu zitafanya Wakulima wengi kubaki na madeni

Weekend nimeamua nikapoteze mawazo Mwailubi, nibaki nikashangae watoto wa Chuo mitaa ile 😜
Mh serious kaka uko mwailubi ? Kama utakuwepo mpaka juma lijalo ukaribie sasa mapacha lounge _songwe .

Leo niko umalila huku na pia mwailubi sipapendi nilitolewa jino na DJ wa hapo kisa nilimuamuru aweke wimbo wa sicheki na wowote akakataa ,nikaanza kumtishia kumpiga ,akaamua kunibamiza
 
Etat major
Losambo
Force de frappe
Top cest trop
Loi
nimekua nikakuta mzee anasikiliza sana hizo ngoma

Nyimbo zote za sam wa ukweli
Cinderella ya ali kiba
Kamwambie ya Diamond
Hi ya prince dully sykes
Nichumu ya Bob junior

Aisee ngoma ni nyingi mnoo
 
Habari ni njema Mkuu

Hizi mvua za Mwaka huu zimenipa hasara sana

Hapa najipanga niende Benki nikakope ili nianze kulima Kwa kumwagilia tu.

Nichimbe Visima vya kutosha shambani kwangu ili niwe na uhakika wa mazao

Otherwise, mnaweza kunikuta natembea naongea pekeyangu barabarani 😜
Nilijua ni huku nilipo tuu, jua limewaka sana asee
 
Ni minong'ono ya hapa na pale kwamba jay z alihusika kwenye kifo cha Aaliyah
Sijui sana mi nachojua nakapenda sana hako kadada na napenda kazi zake kangekuwepo ningekaoa!, japo sasahivi kangekuwa kanasoma age 40...😅
 
Shangilieni - Tumaini st james
Muchana
Album ya katika viumbe vyote

Rip mzee wangu yule baba alikua mvuta fegi lakini alitaka tukue katika maadili ya kimungu 😥😥
 
KUKU KAPANDA BAISKELI BATA KAVAA RAIZONI-🤣🤣🤣🤣MR NICE NYOKO
 
Back
Top Bottom