Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Nimeuchek hamna kitu msanii anaimba bila vina yani kama msanii yuko peke yake dunia mzima au amelazimishwa kuimba

Wimbo wa msanii huyu ninaoujua ni "Kifo" tu
Sasa huyo jamaa ndo diamond platinumz wa enzi zetu 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…