Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Ni nini sasaNeno kumanyoko Wala siyo tusi kama mnavyodai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nini sasaNeno kumanyoko Wala siyo tusi kama mnavyodai.
Sasa huyo jamaa ndo diamond platinumz wa enzi zetu 😅Nimeuchek hamna kitu msanii anaimba bila vina yani kama msanii yuko peke yake dunia mzima au amelazimishwa kuimba
Wimbo wa msanii huyu ninaoujua ni "Kifo" tu
Udiamond wake ulianzia lini na kuishia liniSasa huyo jamaa ndo diamond platinumz wa enzi zetu 😅
Ni neno lililotumika kukemea mambo yasiyo na tija.Ni nini sasa
Aah okNi neno lililotumika kukemea mambo yasiyo na tija.
Umaarufu wake uliisha baada ya nyinyi kizazi cha joka la kibisa (2000+) kuanza kuusiliza muziki.Udiamond wake ulianzia lini na kuishia lini
Ko Mimi ni Kijana wa efu mbiliii 😂Pendaelli nimeshindwa kusubiri kesho 🙈
Vijana wa 2,000 mje mtuambie na nyie mlikua mnasikiliza nini wakati mnakua Nomadix , makutupora , Poor Brain , Al-mukheef , Cassnzoba , synonym II
kama ndo huyo alikuwa diamond kipindi hicho basi hakukuwa na wasanii wa maanaUmaarufu wake uliisha baada ya nyinyi kizazi cha joka la kibisa (2000+) kuanza kuusiliza muziki.
Kwani diamond anatunga wimbo wenye vina?kama ndo huyo alikuwa diamond kipindi hicho basi hakukuwa na wasanii wa maana
Msanii gani anashindwa kutunga wimbo wenye vina!!!
Yeah,au wewe huvijui vina 😃Kwani diamond anatunga wimbo wenye vina?
Nitumie lyrics za wimbo wa diamond zenye vina tuone.Yeah,au wewe huvijui vina 😃
Kasikilize tu nyimbo zake utaona labda kidogo komasava ndo katoka kwenye vinaNitumie lyrics za wimbo wa diamond zenye vina tuone.
Wewe tena mdogo akeeee, wewe bado kijana mteke mteke 🤣🤣🤣🤣🤣Ko
Ko Mimi ni Kijana wa efu mbiliii 😂
Remi ongala naye katoka kidogo kwenye vina katika wimbo wake uitwao kumanyoko kama diamond alivyofanya kwenye komasava.Kasikilize tu nyimbo zake utaona labda kidogo komasava ndo katoka kwenye vina
Hahaha 😆Wanafanyaje hapo?🙃
Mb's zangu zitaisha😒