Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Wapenzi watazamaji tunasubiri muendelezo 🍿
Tulitoka babati vijijini , baada ya kusafiri umbali mrefu wa zaidi ya kilometres 20 kutoka babati vijijini kijiji cha endabag mkabala na kijijini cha nakwa na riroda , kipindi hicho tulitumia usafiri wa baiskel zile za Avon na phonex, kama wewe ulikua majaliwa kidogo kutoka familia yako kama mimi tulipata zile za gia za kimagumashi.... , inaendelea gademit 😁
 
🍿🍿🍿🍿 tuendelee
 
Back
Top Bottom