Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #161
Usiondoke buanaa 🤗, na hizo za 2,000 mimi nazipenda pia!Naondoka na kwenye hili liuzi lenu!.. mi naweka nyimbo za 2000 nyinyi ndo kwanza za 80's huu ni ubakaji...🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiondoke buanaa 🤗, na hizo za 2,000 mimi nazipenda pia!Naondoka na kwenye hili liuzi lenu!.. mi naweka nyimbo za 2000 nyinyi ndo kwanza za 80's huu ni ubakaji...🤣
Tulitoka babati vijijini , baada ya kusafiri umbali mrefu wa zaidi ya kilometres 20 kutoka babati vijijini kijiji cha endabag mkabala na kijijini cha nakwa na riroda , kipindi hicho tulitumia usafiri wa baiskel zile za Avon na phonex, kama wewe ulikua majaliwa kidogo kutoka familia yako kama mimi tulipata zile za gia za kimagumashi.... , inaendelea gademit 😁Wapenzi watazamaji tunasubiri muendelezo 🍿
Tulia kaka umri ni namba tu bwashee 😆Naondoka na kwenye hili liuzi lenu!.. mi naweka nyimbo za 2000 nyinyi ndo kwanza za 80's huu ni ubakaji...🤣
🍿🍿🍿🍿 tuendeleeTulitoka babati vijijini , baada ya kusafiri umbali mrefu wa zaidi ya kilometres 20 kutoka babati vijijini kijiji cha endabag mkabala na kijijini cha nakwa na riroda , kipindi hicho tulitumia usafiri wa baiskel zile za Avon na phonex, kama wewe ulikua majaliwa kidogo kutoka familia yako kama mimi tulipata zile za gia za kimagumashi.... , inaendelea gademit 😁
Pac - Dear MamaFeisal2020 leta ngoma zako mkuu
Mtoto wa 2000Naondoka na kwenye hili liuzi lenu!.. mi naweka nyimbo za 2000 nyinyi ndo kwanza za 80's huu ni ubakaji...🤣
You good?!haha mambo
Kwetu kulikuwa hamna tv sasa,😂ningekuwa nishatupia humuUtoto wangu ulikua na furaha sana ila hizi nilizoweka inawezekana ulikua hujazaliwa zilipotoka 😂😂.
Wewe weka zako ulizosikiliza x-mas za utotoni au ulivyokua shule!
Pac - Dear Mama
View: https://m.youtube.com/watch?v=Mb1ZvUDvLDY&pp=ygUKRGVhciBtYW1hIA%3D%3D
GK, AY & FA - Hii leo
View: https://m.youtube.com/watch?v=YnAP8aDYDOU&pp=ygUNS2luZyBjcmF6eSBnaw%3D%3D
Westlife - Seasons in the Sun
View: https://m.youtube.com/watch?v=Xdv83MFJd7U&pp=ygUSU2Vhc29ucyBvZiB0aGUgc3Vu
Nameless - Nasinzia
View: https://m.youtube.com/watch?v=R79287A5kqg&pp=ygURTmFzaW56aWEgbmFtZWxlc3M%3D
TID - Asha
View: https://m.youtube.com/watch?v=9NlKsUHo6yk&pp=ygUIQXNoYSB0aWQ%3D
TID - Siku Kama Hizi
View: https://m.youtube.com/watch?v=MElBODzDNYQ&pp=ygUSU2lrdSBrYW1hIGhpemkgdGlk
We are all the same ageBut what?
Ah wapiWe are all the same age
We are all adultsAh wapi
Nafupisha ,siku hiyo tukaendesha baiskel wanafunzi watano kutoka babati vijijini ambao ni the best students tukafika mjini tukalala shule ya aldazgeti pale babati mjini , kesho asubuhi ndio tukakutana na shule jirani mjini pale babati mjini uwanja wa kwaraa 😁😁😁🍿🍿🍿🍿 tuendelee
Radio haikuwepo?Kwetu kulikuwa hamna tv sasa,😂ningekuwa nishatupia humu
Mtoto ni mtoto tuWe are all adults
Salam maalimuUvumilivu umekushinda
SawaaaaaaaaaaaMtoto ni mtoto tu