Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #301
Huu wimbo ulitikisa sana 😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NoRemi ongala naye katoka kidogo kwenye vina katika wimbo wake uitwao kumanyoko kama diamond alivyofanya kwenye komasava.
Hawa wapo wap nowHuu wimbo ulitikisa sana 😍
Ila tulikuwa tunamkubali hivyo hivyo.No
Hata kwenye kifo hakuna vina
Nikutumie vipi hela uone sasa?Mb's zangu zitaisha😒
Namba ileile😋m
Nikutumie vipi hela uone sasa?
REMI odangala - Narudi NyumbaniWewe tena mdogo akeeee, wewe bado kijana mteke mteke 🤣🤣🤣🤣🤣
Hata sijui, sijawasikiaga tena toka hiyo ngoma!Hawa wapo wap now
Toa shikamoo kuna ma faza wako humu!!aisee! watu mmekula chumvi yani 97 mnafanya mitihani..😅
😂😂UnanifurahishaNa majirani hawakuwa nazo?
Hawa mafaza tunaochukuliana wadada hapana humu nitapigana nao vikumbo tena wakizingua watakula vichwa vya pua damu ziwatoke...🤣Toa shikamookuna ma faza wako humu!!
Mlikuwa hamjui mzikiIla tulikuwa tunamkubali hivyo hivyo.
Tuliujua sana, Wala hatukushabikia matusi kama mnavyofanya miaka hii.Mlikuwa hamjui mziki
Vipi ulipokuwa unapita mitaani ulikuwa unasikia nyimbo gani😂😂Unanifurahisha
Unaujua rangi ya chungwaTuliujua sana, Wala hatukushabikia matusi kama mnavyofanya miaka hii.
Sawa mkuuNahisi ni ya Reny Ongala.
'wema kumanyoko🤣'