Mimi huwa nasikiliza wimbo mmoja tu kwa kipindi fulani/siku kadhaa
Baada ya hapo nahamia mwingine.
Naweza rotate kwenye nyimbo 5 tu kwa mwezi.
Occasionally sana huwa naskiza bandika bandua.
Although, katika nyimbo zote, kuna huu nimeusikiliza mara nyingi zaidi in the past 10 years
"If I could turn back the hands of the time" - Kells
Then hizi hapa nimeziskiliza zaidi miezi 2 iliyopita.
Mnyunyizi - Sara K
Multiplied - Needtobreathe
Gracefully broken - Natasha Cobbs
Its not easy - Dube
Terry - Emanuel Nkulila
Miss Tanzania - Emanuel Nkulila