Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

My heart will go on _ celion dion
My heart will go on - nilipigie kinanda mwenyewe
Power of love - celion dion
Tabasamu - mr blue
Hollday - Madona
Chid benzi - mashallah
Shania Twain - always
Alikiba - macmuga
Diamonds - Rihanna
Uko addicted sana na love songs Mkuu
 
Punguza kuisikiliza nyimbo za kulia lia
 
Mimi huwa nasikiliza wimbo mmoja tu kwa kipindi fulani/siku kadhaa

Baada ya hapo nahamia mwingine.


Naweza rotate kwenye nyimbo 5 tu kwa mwezi.

Occasionally sana huwa naskiza bandika bandua.

Although, katika nyimbo zote, kuna huu nimeusikiliza mara nyingi zaidi in the past 10 years

"If I could turn back the hands of the time" - Kells

Then hizi hapa nimeziskiliza zaidi miezi 2 iliyopita.


Mnyunyizi - Sara K
Multiplied - Needtobreathe
Gracefully broken - Natasha Cobbs
Its not easy - Dube
Terry - Emanuel Nkulila
Miss Tanzania - Emanuel Nkulila
 
lunatoc nachanganyaga ladha sana to the extent my fam wananiitaga jukebox ila si unajua songs zinaenda na mood so ikitawala mood ya mapenzi hyo ndo my Playlist for instance weekend ya leo na reload old school na Frank Sinatra-That's Life
 
Wimbo wa jirani, ulioimbwa na Awilo wa Mbeya!
 
Naendelea na Masham Sham kwa kwenda Mbele,Huu Wimbo nmeupa rate ya 9.9/10

 
Eminem when I'm gone,big Sean one man can change the world, nf remember this, nf mansion
 
Na recommend huu na ndio nusikiliza sana

The Chainsmokers -_- Family
Almost nyimbo zote za hawa jamaa naweza sikiliza a month na. New album Yao ya "The fall"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…