Nyimbo gani zinakuliwaza ukiwa na wakati mgumu?

Nyimbo gani zinakuliwaza ukiwa na wakati mgumu?

Group Areas Act- nenda kaiskilize
IMG_1320.jpeg

โœŠ๐Ÿฝ๐Ÿ‘Œ๐Ÿฝ
 
Kuna beki 3 wetu akiwa anafanya kazi alikuwa na nyimbo zake za hii modern gospel ya bongo nyimbo fulani nzuri nzuri za kujifariji,nilikuwa sijui lakin ilibid nizitafute boomplay nikakuta nizakina ISRAEL MBOYI,JOEL LWAGA,ZABRON SINGERS na wengine kama hao na chache za bongo fleva za kufariji

Hata mimi ndo nimetokea kuzipenda hzo hzo
 
Nisikufiche my Friend pesa ndo zinaniliwaza ๐Ÿ˜œvinginevyo ni ubatili mtupu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Nisikufiche my Friend pesa ndo zinaniliwaza ๐Ÿ˜œvinginevyo ni ubatili mtupu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Umekaa material thing sana. Watu ni mabilionea na wanakufa na stress na madawa ya kulevya.

Josee kamilioni
Mangwear
Masogange
Ray C
Justin Bieber

Ukiona wewe unadhani pesa ni suluhisho la matatizo yako basi wewe ni maskini sana. Pambana mno bado kazi kubwa iko mbele yako.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Zungumzia mtazamo wako ๐Ÿ˜… mimi sio masikini bro.
 
Back
Top Bottom