inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Fei ya fid sijui,ile yenye msitari 'nyoa kipara cha wembe kisha paka mafuta ya bunduki' inaitwaje?1. Agost 13
2. Fei- Fid Q, hii nyimbo iko too emotional unaweza kulia na machozi lakini ndio raha yenyewe ya mziki
Zinakupa moyo,labda iwe shida za mapenzi,ukiwa na shida za mapenzi sikiliza inaniuma sana ya nature na do for love-tupacUkiwa na mawazo usisikilize nyimbo za hisia, zinakuongezea matatizo zaidi
Inabidi usikilize nini sasa?Ukiwa na huzuni sana usisikilize nyimbo za kuhizunisha zaidi...
unaweza KUJIUA
Aisee hakuna wimbo ambao unaliwaza kama ule wa msanii flani hivi wa kibongo unaitwa komasavaUkiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza.
Top 5 zangu
Million years ago - Adele
Sikati Tamaa - Darasa
Moyo Wangu - patrick kubuya
Voilà - Barbara Pravi
Dear Mama - 2pac
View: https://youtu.be/Db9ciJPIaEU?feature=shared
View: https://youtu.be/7sSkYSnMLVc?feature=shared
View: https://youtu.be/HqGkbzg38Bk?feature=shared
View: https://youtu.be/VJuD7AnV-uw?feature=shared
View: https://youtu.be/Mb1ZvUDvLDY?feature=shared
Niongoze na huruma zako, usiponibariki siwezi kwenda .......Ephraim Sekeleti--- Uniongoze.
Upendo Nkone --- Mungu Baba.
Kathy Praise--- Usikiaye Maombi.
E'Mbonyi -- Nina sir......
Hakuna kushikiliwa ni kujiachia tu 😅🤣Ololufe Mi na Bakanja🎶🎵🤸
Aisee, unaweza uje unishikilie ninavyorukaruka🥴
Hatari sanaHakuna kushikiliwa ni kujiachia tu 😅🤣
Nimekupata mwenzangu itakuwa mvi zimeanza kututokea kichwani,.Mimi hata nyimbo zenyewe nahisi kelele tuu😂bora ninywe Pepsi ya barrrriiiidi angalau nipoze koo,.Nishapita huko.