Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Usije ukafanya hilo kosa tenaLets play a game, taja wimbo mmoja wa Tupac wenye madini then nakujibu kwa wimbo wa wayne hadi mmoja wetu atakapoishia njiani.
Tupac mwana harakati tu yule, ni kama hapa Tz Ushindanishe fid q na roma
The lyrical king Lesane hawezi linganishwa na Dwyane.
Narudia tena usijichanganye kamwe.