Nyimbo za Bongo Fleva kupigwa Airport ni uamuzi wa busara?

Nyimbo za Bongo Fleva kupigwa Airport ni uamuzi wa busara?

Huo ni mtazamo wako,Kila mtu ana uhuru wa kujieleza kutegemeana na uwezo wake wa kung'amua mambo kwaiyo wewe umejitahid kuelezea kile ulichoelewa lkn kumbuka Iko kikao cha waziri kililenga maslah mapana ya wasanii wa Tz,
 
Ni sawa binti yako akae kusikiliziza, "ishike, ipake mate, ichomeke taratibu, ikatikie"? hayo ndio maslahi ya Whozu, Diamond, Mbosso na wapuuzi wengine wanaotumia madawa na waliojichoka?

Wewe upo tayari binti yako wa miaka mitatu , mmekaa mnasubiri ndege , atoke mbele "a-anze kupandisha nguo, ajibinue matako aimbe chura anaruka ruka -chra huyooo, anaruka ruka" kwa mslahi ya wavuta unga wa bongo fleva?

#Acha upuuzi
 
Wapige nyimbo za vijana bhana sema zenye maadili Airport ya kwenu hamtaki nyimbo zenu zipigwe mnataka zipigwe za Makirikiri wakati huko kwao usitegemee Bongofreva kuimbwa Airport...
 
Tatizo mmekariri nyimbo n hizo za waruka majoka.

Tz kuna nyimbo tamm sanaa ukiacha izo chache ambazo zina makelele.

Mfano;marashi ya pemba by ndala kasheba,rangi ya chungwa,amigo,afrooo,taarabu za kina njenje ni uamuzi mzuri nyimbo zipo za kutosha ambazo azichoshi masikioni.

Kumbuka hapo lengo n kupromote nyimbo(msanii) na nchi kwa ujumla.

Mgeni anafika anakutana na chambua kama karanga by saida kalori yuko Africa na kama n mara yake ya kwanza atabakiwa na kumbukumbuku ya kusimulia akirudi kwao.
Kuna siku nilishtuka sana nikiwa ndani ya mall kubwa ndani ya nchi 1 ya ulaya nikasikia i'm single ya harmonize
 
Wasanii wa bongo bwana km zuchu mm siwezi tanganza pombe mm ni mtoto wa kiislam lakini sasa sikiliza nyimbo zilivo njaa maneno ya kishenz unaona ni bora hata asiutukanishe uislam maana anaimba upuuzi kiwango cha lami
 
Ni sawa binti yako akae kusikiliziza, "ishike, ipake mate, ichomeke taratibu, ikatikie"? hayo ndio maslahi ya Whozu, Diamond, Mbosso na wapuuzi wengine wanaotumia madawa na waliojichoka?

Wewe upo tayari binti yako wa miaka mitatu , mmekaa mnasubiri ndege , atoke mbele "a-anze kupandisha nguo, ajibinue matako aimbe chura anaruka ruka -chra huyooo, anaruka ruka" kwa mslahi ya wavuta unga wa bongo fleva?

#Acha upuuzi
Kwani akuna nyimbo nyingine zaidi ya hizo unazozijua wewe za matusi Sikinde,Msondi,Twanga nk? Wewe utaki zipigwe nyimbo za wasanii wa Tanzania unataka zipigwe nyimbo za wasanii wa Nchi gani?
 
Kwani akuna nyimbo nyingine zaidi ya hizo unazozijua wewe za matusi Sikinde,Msondi,Twanga nk? Wewe utaki zipigwe nyimbo za wasanii wa Tanzania unataka zipigwe nyimbo za wasanii wa Nchi gani?
Kakojoe urudi kulala hapo chumba cha wageni kwa shemeji yako!

Stupid is as stupid does!
 
Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka kwa sasa badala ya viwanja vua michezo kwa kila shule, apambanie tupate timu za vijana kila Mtaa n a Kata, tupate maeneno ya wazi ambayo CCM imeyateka na kuweka makontena ya kulaza magri na baa za kuuza konyagi za kupima!

Nyimbo za Wanamuziki wa Kitanzania zinatarajiwa kuanza kupigwa kwa asilimia 100 kwenye viwanja vya ndege hapa nchini ili kuendelea kuutangaza muziki wa kitanzania.

Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya kikao cha Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA ambaye amekutana na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini katika kikao kilichofanyika Jijini Dar es salaam.

Katika kikao kazi hicho, Naibu Waziri Mwinjuma ametoa rai kupitia kwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Musa Mbura kufanya hivyo ili kutangaza muziki wa kitanzania kwa wageni wanaoingia na kutoka nchini.Kikao hicho kimehudhuriwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa, Dkt. Emmanuel Ishengoma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Dkt. Kiago Kilonzo na Kaimu Mtendaji Mkuu wa COSOTA, Baraka Katemba.

WADAU wanajiuliza, nyimbo hizi za matusi za Diamond, Zuchu , Harmoniser ndio zitapigwa au itakuwa kwaya na kaswida?

Video za wanawake wa kislamu wakiwa uchi kama steji shoo ndio mnataka kutuwekea Pale DIa, KIA na kwengineko tukiwa tunasubiri check-in tuangalie na wanetu tukiwa tunasubiri ndege za kwenda likizo?
Mauno na mabusu ya kina Diamond na video zao wakila shisha zilizochanganywa na madawa ya kulevya ndio mtuonyeshee watoto wetu?

Huo muziki wewe Mwana FA tukiweka wanao waangalie kwa masaa 2 mfulilizo utakubali?

MWANA FA umetuchoka, kuongoza si shurti, achia wizara uwe back bencher!
NAKAZIA.
KWANZA MUZIKI wetu ni UPI? AMAPIANO AU NIGERIAN? NAOMBA KUJUZWA MUZIKI ASILI YETU NI UPI NA WANAMUZIKI WAPI NDIO WANAIMBA.

Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom