Nyimbo za Bongo Fleva kupigwa Airport ni uamuzi wa busara?

Kwanza watu wengine hawapendi mikelele ya mziki, kwa hiyo mwenyewe kaona kafanya kazi kweli.
Wao wanajuwa kila mtu anapennda Mikelele, miziki yenyewe mikelele tu
Sasa we airport upige mzik wa zuchu honey honey......
Airport zinapigwa jazz au country tena sauti kwa mbali sanaaaa

Ova
 
Kwanza wasikilizaji wa nyimbo za matusi sidhani kama wana nauli za kupanda ndege, sidhani>
Mostly ni watu na ustaarabu wao, mi nyimbo ya ipake mate ipenye, sijui nini

IMG_1537.jpg
 
Aliekuambia Airport kuna wastaarabu pekee nani?acha ushamba
Mwanangu Oscar, wewe umemaliza MEMKWA ,2022 na umenunua TECNO kwa mkopo wa Chuo, wewe ni kizazi cha chips na una upungufu wa kufikiri na kujua mambo, nakusamehe kabla sijakutoa tongotongo.
Ushawahi kuona watu wanagombania kupanda ndege kama mwanaume wako anavyofanya kwenye DCM za Mbagala kiburugwa?
Ushaona Watu wanakula mahindi ya kuchemsha kwenye ndege na kutafuna chewing gum na kuzigandisha kwenye siti za ndege?
Umeshaona mtu kwenye ndege anakojoa kwenye chupa ya maji na kuitupa chini?

#Fool is as fol does.
 
Kaka chuo sikufika na hapa natumia simu ya kuazima sio yangu.Nimefurahi kwa sifa zako hizi nzuri kwangu na wanangu wa Mbagala.

safari ndefu kujua ustaarabu na maana yake.
 
Pole na hongera, kwenye sensa ya kitaifa upo kwenye watu waliochangia tuendelee kupewa misaada na MAREKANI.
 
Back
Top Bottom