Nyimbo za Bongo Fleva kupigwa Airport ni uamuzi wa busara?

Tatizo mmekariri nyimbo n hizo za waruka majoka.

Tz kuna nyimbo tamm sanaa ukiacha izo chache ambazo zina makelele.

Mfano;marashi ya pemba by ndala kasheba,rangi ya chungwa,amigo,afrooo,taarabu za kina njenje ni uamuzi mzuri nyimbo zipo za kutosha ambazo azichoshi masikioni.

Kumbuka hapo lengo n kupromote nyimbo(msanii) na nchi kwa ujumla.

Mgeni anafika anakutana na chambua kama karanga by saida kalori yuko Africa na kama n mara yake ya kwanza atabakiwa na kumbukumbuku ya kusimulia akirudi kwao.
Je? Hizo ni bongo fleva? [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Screenshot_2023-11-23-01-06-53-60_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg

Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usiseme nyimbo za matusi zisipigwe na sio Bongo Fleva ? Unajuaje kama watapiga za Matusi au kwanini wasiwashauri wadau wawe na radio version ambayo haina matusi...

Hivi unajua hata nyimbo za ughaibuni zinaimba nini au sababu ni lugha....; au nikuwekee chache....

In short kupangia watu cha kusikiliza its so yesteryear.., kama ni kukuza utalii basi zipigwe zenye maudhui ya utalii au wasanii wabadilishe wawe na utalii versions....

Nyimbo kama za Remmy Ongala nitarudi Mwanza au hata za Pepe Kalle nimepoteza kipenzi changu au ile marashi ya Karafuu Zanzibar its all it's all about no matter nani kaimba.....
 
NAKAZIA.
KWANZA MUZIKI wetu ni UPI? AMAPIANO AU NIGERIAN? NAOMBA KUJUZWA MUZIKI ASILI YETU NI UPI NA WANAMUZIKI WAPI NDIO WANAIMBA.

Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
Si kuna kamati iliundwa na kupewa zaidi ya milioni 300 itafute mdundo wa Taifa na baadae vazi la Taifa?
Waulize iko wapi?
Hii nchi unaweza ukaamua kula hata bilioni mchana kweupe mbele ya kamera na hakuna wa kukuuliza.
 
Mkuu watu wanakariri upuuzi tu lakini kiukweli Kuna nyimbo nyingi sana
Hizo nyimbo nyingi zimewahi kupigwa wapi?
Maskini na wanyonge hawajawahi kuzisikia hizo nyimbo, hawana kwenye flash wala haizpigwi redioni.
wewe unazisikiaga wapi ama una mawazo yako kichwani tu ndio unafikiri kila mtu anawaza hivyo?
Umewahi kuhudhuria sherehe za mwenge, uhuru, sehemu waknakuja viongozi wa kitaifa, ma dj si wanapigaga nyimbo hizo hizo za matusi?
Mikesha ya mwenge nchi nzima wanapigaga nyimbo gani?
 
Si kuna kamati iliundwa na kupewa zaidi ya milioni 300 itafute mdundo wa Taifa na baadae vazi la Taifa?
Waulize iko wapi?
Hii nchi unaweza ukaamua kula hata bilioni mchana kweupe mbele ya kamera na hakuna wa kukuuliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
 
Muziki ni sehem ya kuulinda na kuusambaza utamaduni wa nchi kupitia sanaa hiyo..tatizo linakuja je,tumeweka nguvu kwenye kuulinda utamaduni wetu kupitia sanaa ya Muziki???ukiangalia wanaMuziki wanaovuma hapa Tz wengi wao hawafanyi muziki wa asili na utamaduni wetu,wanaiga kutoka mataifa mengine,hizo nyimbo zitakazopigwa hapo lengo ni nini?au wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi?
 
Mdogo wangu MWANA FA, pitia hu ujumbe, Utamaduni wetu ndio hao akina Zuchu na Diamond ku-zalisha wanawake zaodi ya 5 na kwaacha:
Kujichora tatoo na kutumia madawa ya kulevya, alafu kamishna wa madawa anawabembeleza eti anawajua ataanza kuwafuatilia, nikajichekea mie eti awafuatilie wakati ndio wapiga kampeni wakuu wa CCM?
 
Muziki ni sehem ya kuulinda na kuusambaza utamaduni wa nchi kupitia sanaa hiyo..tatizo linakuja je,tumeweka nguvu kwenye kuulinda utamaduni wetu kupitia sanaa ya Muziki???ukiangalia wanaMuziki wanaovuma hapa Tz wengi wao hawafanyi muziki wa asili na utamaduni wetu,wanaiga kutoka mataifa mengine,hizo nyimbo zitakazopigwa hapo lengo ni nini?au wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi?
Muziki unatumika kuanzia kizazi kilichopita,kilichoko na kinachoingia kuanzia sasa na kama ulivyosema nyimbo nyingi n sample za nyingine hazina asili ya hapa.

Hivyo nyimbo zitakazotumika ni zile zilizobeba uasilia wetu na zipo nyingi sanaaa.kuanzia za wacheza ngoma,wazeee wa kughani sauti(mpoto) taarabu,zilizopendwa.

Hakuna hisia kali kama hii kwa mgeni pata picha umeshuka london alafu unadikia country music zinapigwa unaanza kufil uko uingereza kabla hata haujakutana na chochote kile na mziki una tengeneza kumbukumbuku.

Kwa mgeni ambaye anapenda music ataanza kuulizia habari za wimbo unaopigwa na wasanii wanaopatikana Tz.
 
Waweke zele nyimbo za,inama nkupak mafuta itereze taratibu

Itapendeza

Ova
 
Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka kwa sasa badala ya viwanja vua michezo kwa kila shule, apambanie tupate timu za vijana kila Mtaa n a Kata, tupate maeneno ya wazi ambayo CCM imeyateka na kuweka makontena ya kulaza magri na baa za kuuza konyagi za kupima!

Nyimbo za Wanamuziki wa Kitanzania zinatarajiwa kuanza kupigwa kwa asilimia 100 kwenye viwanja vya ndege hapa nchini ili kuendelea kuutangaza muziki wa kitanzania.

Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya kikao cha Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA ambaye amekutana na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini katika kikao kilichofanyika Jijini Dar es salaam.

Katika kikao kazi hicho, Naibu Waziri Mwinjuma ametoa rai kupitia kwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Musa Mbura kufanya hivyo ili kutangaza muziki wa kitanzania kwa wageni wanaoingia na kutoka nchini.Kikao hicho kimehudhuriwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa, Dkt. Emmanuel Ishengoma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Dkt. Kiago Kilonzo na Kaimu Mtendaji Mkuu wa COSOTA, Baraka Katemba.

WADAU wanajiuliza, nyimbo hizi za matusi za Diamond, Zuchu , Harmoniser ndio zitapigwa au itakuwa kwaya na kaswida?

Video za wanawake wa kislamu wakiwa uchi kama steji shoo ndio mnataka kutuwekea Pale DIa, KIA na kwengineko tukiwa tunasubiri check-in tuangalie na wanetu tukiwa tunasubiri ndege za kwenda likizo?
Mauno na mabusu ya kina Diamond na video zao wakila shisha zilizochanganywa na madawa ya kulevya ndio mtuonyeshee watoto wetu?

Huo muziki wewe Mwana FA tukiweka wanao waangalie kwa masaa 2 mfulilizo utakubali?

MWANA FA umetuchoka, kuongoza si shurti, achia wizara uwe back bencher!
Upo uwanja wa ndege, nyimbo hizo za ngono zinapigwa, mgrni anavutiwa na mdundo, hajui Kiswahili anakuuliza kinachoimbwa!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Hapo kazi kwa mchaguaji DJ..
 
Sasa nyie mna mkosi gani?
Kila mahali mnataka mziki tu kuanzia kwenye sherehe, vilio, kwenye mabasi, na sasa airports
Mwafrika ana shida mahali sio bure
Huyu jamaa arudi kwenye miziki yake na matusi
Jitu Zima linawaza kukata kiuno nani ana shida ya mziki airport kama sio upumbavu wa akili zao hizo
Nakereka sana kuona mziki unapigwa kwenye sehemu zisizokuwa mahali pake
Kaona kuitangaza Tz ni mziki
Kina Miriam Makeba nyimbo zao ziliuzika mpaka ulaya miaka ya 70 kwani ilipigwa airport?
Mtu anakuja nchini anaondoka anasikitika kwa kuulizwa hongo bila kosa
Unafikiri atajali huo mziki
 
Kwa uchungu na ukweli umenena.
 
Siasa za Bongo.
Akili kubwa inaongoza akili ndogo.
Bongo nyoso🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔.
Utaambiwa,tumepiga hatua katika tasinia.😂😂😂
 
Kwanza watu wengine hawapendi mikelele ya mziki, kwa hiyo mwenyewe kaona kafanya kazi kweli.
 
Back
Top Bottom