Nyimbo za Bongo Fleva kupigwa Airport ni uamuzi wa busara?

Huo ni mtazamo wako,Kila mtu ana uhuru wa kujieleza kutegemeana na uwezo wake wa kung'amua mambo kwaiyo wewe umejitahid kuelezea kile ulichoelewa lkn kumbuka Iko kikao cha waziri kililenga maslah mapana ya wasanii wa Tz,
 
Ni sawa binti yako akae kusikiliziza, "ishike, ipake mate, ichomeke taratibu, ikatikie"? hayo ndio maslahi ya Whozu, Diamond, Mbosso na wapuuzi wengine wanaotumia madawa na waliojichoka?

Wewe upo tayari binti yako wa miaka mitatu , mmekaa mnasubiri ndege , atoke mbele "a-anze kupandisha nguo, ajibinue matako aimbe chura anaruka ruka -chra huyooo, anaruka ruka" kwa mslahi ya wavuta unga wa bongo fleva?

#Acha upuuzi
 
Wapige nyimbo za vijana bhana sema zenye maadili Airport ya kwenu hamtaki nyimbo zenu zipigwe mnataka zipigwe za Makirikiri wakati huko kwao usitegemee Bongofreva kuimbwa Airport...
 
Kuna siku nilishtuka sana nikiwa ndani ya mall kubwa ndani ya nchi 1 ya ulaya nikasikia i'm single ya harmonize
 
Wasanii wa bongo bwana km zuchu mm siwezi tanganza pombe mm ni mtoto wa kiislam lakini sasa sikiliza nyimbo zilivo njaa maneno ya kishenz unaona ni bora hata asiutukanishe uislam maana anaimba upuuzi kiwango cha lami
 
Kwani akuna nyimbo nyingine zaidi ya hizo unazozijua wewe za matusi Sikinde,Msondi,Twanga nk? Wewe utaki zipigwe nyimbo za wasanii wa Tanzania unataka zipigwe nyimbo za wasanii wa Nchi gani?
 
Kwani akuna nyimbo nyingine zaidi ya hizo unazozijua wewe za matusi Sikinde,Msondi,Twanga nk? Wewe utaki zipigwe nyimbo za wasanii wa Tanzania unataka zipigwe nyimbo za wasanii wa Nchi gani?
Kakojoe urudi kulala hapo chumba cha wageni kwa shemeji yako!

Stupid is as stupid does!
 
NAKAZIA.
KWANZA MUZIKI wetu ni UPI? AMAPIANO AU NIGERIAN? NAOMBA KUJUZWA MUZIKI ASILI YETU NI UPI NA WANAMUZIKI WAPI NDIO WANAIMBA.

Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…