Dreamliner787
JF-Expert Member
- Mar 24, 2017
- 562
- 362
Je? Hizo ni bongo fleva? [emoji45] [emoji45] [emoji45]Tatizo mmekariri nyimbo n hizo za waruka majoka.
Tz kuna nyimbo tamm sanaa ukiacha izo chache ambazo zina makelele.
Mfano;marashi ya pemba by ndala kasheba,rangi ya chungwa,amigo,afrooo,taarabu za kina njenje ni uamuzi mzuri nyimbo zipo za kutosha ambazo azichoshi masikioni.
Kumbuka hapo lengo n kupromote nyimbo(msanii) na nchi kwa ujumla.
Mgeni anafika anakutana na chambua kama karanga by saida kalori yuko Africa na kama n mara yake ya kwanza atabakiwa na kumbukumbuku ya kusimulia akirudi kwao.
NAKAZIA.Airport zinatakiwa nyimbo za slow na zilizo na maudhui yanowezwa kusikilizwa na rika zote.
"Unataka kuingia chumba cha uwani ama cha mbele chenye kapeti manyoya?"Singeli.. nimesikia kwenye mwendokasi
Si kuna kamati iliundwa na kupewa zaidi ya milioni 300 itafute mdundo wa Taifa na baadae vazi la Taifa?NAKAZIA.
KWANZA MUZIKI wetu ni UPI? AMAPIANO AU NIGERIAN? NAOMBA KUJUZWA MUZIKI ASILI YETU NI UPI NA WANAMUZIKI WAPI NDIO WANAIMBA.
Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
Hizo nyimbo nyingi zimewahi kupigwa wapi?Mkuu watu wanakariri upuuzi tu lakini kiukweli Kuna nyimbo nyingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si kuna kamati iliundwa na kupewa zaidi ya milioni 300 itafute mdundo wa Taifa na baadae vazi la Taifa?
Waulize iko wapi?
Hii nchi unaweza ukaamua kula hata bilioni mchana kweupe mbele ya kamera na hakuna wa kukuuliza.
Kamati ya mdundo wa Taifa kukusanya maoni ya wadau wa muziki
Kamati inayoshughulikia uundaji wa mdundo wa Taifa imesema itafanya kikao cha pamoja na wadau mbalimbali wa sanaa kwa lengo la kukusanya maoni yao kuhusu namna watakavyotengeneza wimbo mmoja utakaotambulisha mdundo wa muziki wa kitaifa utakaotumiwa na wasanii nchini. Hayo yamebainishwa na...swahilitimes.co.tz
Mdogo wangu MWANA FA, pitia hu ujumbe, Utamaduni wetu ndio hao akina Zuchu na Diamond ku-zalisha wanawake zaodi ya 5 na kwaacha:Muziki ni sehem ya kuulinda na kuusambaza utamaduni wa nchi kupitia sanaa hiyo..tatizo linakuja je,tumeweka nguvu kwenye kuulinda utamaduni wetu kupitia sanaa ya Muziki???ukiangalia wanaMuziki wanaovuma hapa Tz wengi wao hawafanyi muziki wa asili na utamaduni wetu,wanaiga kutoka mataifa mengine,hizo nyimbo zitakazopigwa hapo lengo ni nini?au wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi?
Ndio ni nyimbo zenye ladha ya Tanzania zimegawanyika kwenye ladha tofauti tofauti kuanzia singeli, taarabu mpaka izo unazozijua ww.Je? Hizo ni bongo fleva? [emoji45] [emoji45] [emoji45] View attachment 2822236
Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
Muziki unatumika kuanzia kizazi kilichopita,kilichoko na kinachoingia kuanzia sasa na kama ulivyosema nyimbo nyingi n sample za nyingine hazina asili ya hapa.Muziki ni sehem ya kuulinda na kuusambaza utamaduni wa nchi kupitia sanaa hiyo..tatizo linakuja je,tumeweka nguvu kwenye kuulinda utamaduni wetu kupitia sanaa ya Muziki???ukiangalia wanaMuziki wanaovuma hapa Tz wengi wao hawafanyi muziki wa asili na utamaduni wetu,wanaiga kutoka mataifa mengine,hizo nyimbo zitakazopigwa hapo lengo ni nini?au wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi?
Ni kama 'Kila Munu Ave na Kwao' wa Field Marshal Tongolanga.NAKAZIA.
KWANZA MUZIKI wetu ni UPI? AMAPIANO AU NIGERIAN? NAOMBA KUJUZWA MUZIKI ASILI YETU NI UPI NA WANAMUZIKI WAPI NDIO WANAIMBA.
Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
Upo uwanja wa ndege, nyimbo hizo za ngono zinapigwa, mgrni anavutiwa na mdundo, hajui Kiswahili anakuuliza kinachoimbwa!Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka kwa sasa badala ya viwanja vua michezo kwa kila shule, apambanie tupate timu za vijana kila Mtaa n a Kata, tupate maeneno ya wazi ambayo CCM imeyateka na kuweka makontena ya kulaza magri na baa za kuuza konyagi za kupima!
Nyimbo za Wanamuziki wa Kitanzania zinatarajiwa kuanza kupigwa kwa asilimia 100 kwenye viwanja vya ndege hapa nchini ili kuendelea kuutangaza muziki wa kitanzania.
Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya kikao cha Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA ambaye amekutana na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini katika kikao kilichofanyika Jijini Dar es salaam.
Katika kikao kazi hicho, Naibu Waziri Mwinjuma ametoa rai kupitia kwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Musa Mbura kufanya hivyo ili kutangaza muziki wa kitanzania kwa wageni wanaoingia na kutoka nchini.Kikao hicho kimehudhuriwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa, Dkt. Emmanuel Ishengoma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Dkt. Kiago Kilonzo na Kaimu Mtendaji Mkuu wa COSOTA, Baraka Katemba.
WADAU wanajiuliza, nyimbo hizi za matusi za Diamond, Zuchu , Harmoniser ndio zitapigwa au itakuwa kwaya na kaswida?
Video za wanawake wa kislamu wakiwa uchi kama steji shoo ndio mnataka kutuwekea Pale DIa, KIA na kwengineko tukiwa tunasubiri check-in tuangalie na wanetu tukiwa tunasubiri ndege za kwenda likizo?
Mauno na mabusu ya kina Diamond na video zao wakila shisha zilizochanganywa na madawa ya kulevya ndio mtuonyeshee watoto wetu?
Huo muziki wewe Mwana FA tukiweka wanao waangalie kwa masaa 2 mfulilizo utakubali?
MWANA FA umetuchoka, kuongoza si shurti, achia wizara uwe back bencher!
Hapo kazi kwa mchaguaji DJ..Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka kwa sasa badala ya viwanja vua michezo kwa kila shule, apambanie tupate timu za vijana kila Mtaa n a Kata, tupate maeneno ya wazi ambayo CCM imeyateka na kuweka makontena ya kulaza magri na baa za kuuza konyagi za kupima!
Nyimbo za Wanamuziki wa Kitanzania zinatarajiwa kuanza kupigwa kwa asilimia 100 kwenye viwanja vya ndege hapa nchini ili kuendelea kuutangaza muziki wa kitanzania.
Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya kikao cha Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA ambaye amekutana na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini katika kikao kilichofanyika Jijini Dar es salaam.
Katika kikao kazi hicho, Naibu Waziri Mwinjuma ametoa rai kupitia kwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Musa Mbura kufanya hivyo ili kutangaza muziki wa kitanzania kwa wageni wanaoingia na kutoka nchini.Kikao hicho kimehudhuriwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa, Dkt. Emmanuel Ishengoma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Dkt. Kiago Kilonzo na Kaimu Mtendaji Mkuu wa COSOTA, Baraka Katemba.
WADAU wanajiuliza, nyimbo hizi za matusi za Diamond, Zuchu , Harmoniser ndio zitapigwa au itakuwa kwaya na kaswida?
Video za wanawake wa kislamu wakiwa uchi kama steji shoo ndio mnataka kutuwekea Pale DIa, KIA na kwengineko tukiwa tunasubiri check-in tuangalie na wanetu tukiwa tunasubiri ndege za kwenda likizo?
Mauno na mabusu ya kina Diamond na video zao wakila shisha zilizochanganywa na madawa ya kulevya ndio mtuonyeshee watoto wetu?
Huo muziki wewe Mwana FA tukiweka wanao waangalie kwa masaa 2 mfulilizo utakubali?
MWANA FA umetuchoka, kuongoza si shurti, achia wizara uwe back bencher!
Kwa uchungu na ukweli umenena.Sasa nyie mna mkosi gani?
Kila mahali mnataka mziki tu kuanzia kwenye sherehe, vilio, kwenye mabasi, na sasa airports
Mwafrika ana shida mahali sio bure
Huyu jamaa arudi kwenye miziki yake na matusi
Jitu Zima linawaza kukata kiuno nani ana shida ya mziki airport kama sio upumbavu wa akili zao hizo
Nakereka sana kuona mziki unapigwa kwenye sehemu zisizokuwa mahali pake
Kaona kuitangaza Tz ni mziki
Kina Miriam Makeba nyimbo zao ziliuzika mpaka ulaya miaka ya 70 kwani ilipigwa airport?
Mtu anakuja nchini anaondoka anasikitika kwa kuulizwa hongo bila kosa
Unafikiri atajali huo mziki