Wao wanajuwa kila mtu anapennda Mikelele, miziki yenyewe mikelele tuKwanza watu wengine hawapendi mikelele ya mziki, kwa hiyo mwenyewe kaona kafanya kazi kweli.
Airport , maana nyimbo za ngono kila sehemu mshawekewa sasa zinawafuata wastarabu hadi airport.
Kwanza wasikilizaji wa nyimbo za matusi sidhani kama wana nauli za kupanda ndege, sidhani>
Mostly ni watu na ustaarabu wao, mi nyimbo ya ipake mate ipenye, sijui nini
Mwanangu Oscar, wewe umemaliza MEMKWA ,2022 na umenunua TECNO kwa mkopo wa Chuo, wewe ni kizazi cha chips na una upungufu wa kufikiri na kujua mambo, nakusamehe kabla sijakutoa tongotongo.Aliekuambia Airport kuna wastaarabu pekee nani?acha ushamba
Mwanangu Oscar, wewe umemaliza MEMKWA ,2022 na umenunua TECNO kwa mkopo wa Chuo, wewe ni kizazi cha chips na una upungufu wa kufikiri na kujua mambo, nakusamehe kabla sijakutoa tongotongo.
Ushawahi kuona watu wanagombania kupanda ndege kama mwanaume wako anavyofanya kwenye DCM za Mbagala kiburugwa?
Ushaona Watu wanakula mahindi ya kuchemsha kwenye ndege na kutafuna chewing gum na kuzigandisha kwenye siti za ndege?
Umeshaona mtu kwenye ndege anakojoa kwenye chupa ya maji na kuitupa chini?
#Fool is as fol does.
Pole na hongera, kwenye sensa ya kitaifa upo kwenye watu waliochangia tuendelee kupewa misaada na MAREKANI.Kaka chuo sikufika na hapa natumia simu ya kuazima sio yangu.Nimefurahi kwa sifa zako hizi nzuri kwangu na wanangu wa Mbagala.
safari ndefu kujua ustaarabu na maana yake.