Kumbe ni wimbo wa kuhamasisha ufugaji wa kuku au kilimo cha kufa na kupona.Na kila msiba utapigwa ๐
Kama gloomy Sunday๐ ๐Kwema wakuu.
NYIMBO ZENYE MIDUNDO YA HUZUNI huwa zina madhara gani?
Kuna kipindi fulani nilikuwa nazisikiliza sana, mtu akanambia achana na hizo nyimbo kwa usalama wako.
Nyimbo hizi zina madhara gani?
Mfano wa nyimbo hizo:
Wiz Khalifa - See you again
Zote ni za huzuni, very boring song๐๐ ndio maana kuna rumors kwamba Kila anaeuskiliza huo wimbo baadae anajinyonga.hatari ile ya Billie?
Kwanini uskilize nyimbo za namna hii๐๐๐