Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,527
FOREVER AND ALWAYS
YOU'RE STILL THE ONE.
YOU'RE STILL THE ONE.
Hio nyimbo ni ya huzuni na inasikitisha ina low frequency kama alivyosema redeemerWimbo wa Wiz Khalifa - See you again hauna mdundo wa huzuni ila una mistari ya farewell na kwa muda uliotoka ulibeba huzuni sababu ya tukio. Ila mtu akiusikiliza bila kuona video wala kujua namna wimbo ulivyotungwa, hawezi kuhuzunika.
Upo wimbo wa msanii anaitwa Yirima ndio unasikitisha na kuhuzunisha, binafsi mimi sipendi kuusikiliza wala kuutazama. Huu hapa
View: https://youtu.be/fcdf9PsfdUc?si=yXZShR4pkPghjwYc
Madhara:
Zinatia uchungu zaidi, yaani kama umefiwa badala ya wimbo kukufariji, unakuongezea huzuni zaidi
😂😂😂, Sina neno bwashee.Acha upumbavu wa kukwepa hii I'd meku , unatema ujinga ndivyo ulivyo bwashee acha kukimbia kifala mkali
Basi sikilizeni na mwingine huo mhuzunikeHio nyimbo ni ya huzuni na inasikitisha ina low frequency kama alivyosema redeemer
Hii comment ndio ilitakiwa uwe uzi sasa 😹😹Unakuta unasikiliza nyimbo hata ya kifaransa unahuzunika sana kumbe hio nyimbo inahusu kilimo!
Unasikia wivu wakati na wewe ni wale wale Mwachi 😹😹Kila dakika unatupia uzi hongera
Hapana sikuiz nimepoa uoniUnasikia wivu wakati na wewe ni wale wale Mwachi 😹😹
DR Mambo Jambo naye atoe neno maana ni mtaalamu sana katika msuala ya muziki, wapi KENZY.Wataalam wa Music dosho12 , Vincenzo Jr tieni neno
Wapi mkuu 🤔Dah umenikumbusha mbali 🙁
Ni nzuri sana mkuu 😂 😃 😃Kwanini uskilize nyimbo za namna hii😂😂😂
Nipo bhana 😀Hahah capucchino bana sawa wapi sikuhizi umeadimika mamaa.
Weeh!! 😹Nimekumiss Lamomy 🙂
Haya bhana 😹😀 😀 Miih!! unashangaa mimi kukumiss
utag humu huo uzi mkuu.Kuna uzi unaelezea kuhusu energy, frequency and vibration pitia unaweza kupata kitu au zile kanuni za ulimwengu
View attachment 3388784