Kika nyimbo ina frequency yake. Na frequency inaleya vibration yake.
Kusikiliza nyimbo za uzuni mara kwa mara maana yake unakuwa unavibrate in a low frequency.
Ukiwa kaika low frequency maana yake unakuwa katika dimension ya chini sana. Ni rahisi kuingilika na nguvu hadi(wengine huita nguvu za Giza).
Hapa ndiyo wachawi na watu wabaya hupata mlango wa kukuingia maana unakuwa katika vibration ya chine sana.
Hivi unajua kwenye majanga/matatizo mara nyingi hutokea series ya matatizo zaidi? Mfano kwenye msiba watu wengi hulia zaidi zikioigwa nyimbo za huzuni na wengine huanguka na kuzimia au hata kufa.
Kwa lugha rahisi ni mfano unajisikia baridi(upo katika vibration ya chini) alafu ukaingizwa kwenye chumba cha baridi(unasikiliza mziki wa huzuni ni kama unazidi kushusha zaidi vibration).
Mfano sikiliza hii nyimbo inaitwa "death bed song"utaniambia unajisikiaje.