Nyimbo za taratibu sana/za huzuni zina madhara gani?

Kuna hii ya kwenye game of thrones
"Seven lights"
Siku nikizisikiliza hiyo kitu kwa hali yeyote huwa hiyo week huja na janga kubwa katika familiašŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
 
Mkuu nimeshangaa kuwa watu wanaosikiliza "gloomy sunday" inaaminika huwa wanajiua hasa wahungary imepelekea nyimbo iitwe "hungary suic!de song!"
Itakuwa ni sababu wanapata emotional regulation, validation, and a sense of connection
 
Mtu mwenye wakati mgumu + su!cidal thoughts huwa anatafuta sababu ya kuhalalisha mawazo yake ili ajiue, kwa bahati mbaya nyimbo kama hizo zinafaa kabisa kuhalalisha mawazo hayo!
 
Kila Nyimbo kuna kitu kisichoonekana ilichobeba. Wengi tunasema ( roho ).

Ndio Maana ukifuatilia kila Nyimbo inayopigwa inaleta msisimko au msukumo Fulani ndani yako.

Ndio Maana watu wanapofanya Uzinzi kuna aina Fulani ya Nyimbo husikiliza wakati wa hilo tendo.

Jaribu kupiga Nyimbo ya "Israel Mbonyi - Yatosha" Club. Uone Mood itakavyobadilika, hata ukipigwa kwa lazima hakuna mzuka wowote utatokea hapo club. Labda watu wawe wendawazimu ndio itakuwa vinginevyo. Maana yake Sio mahali pake.

Ndio maana wale wenye vipaji kweli kweli akiimba vyema. Aisee hali ya hewa huwa inabadilika.

Mfano kilichooneka kwenye movie ya Sinners (2025).

Hivyo Kuwa makini Sana Mziki unaosikiliza au unaouimba maana kuna kitu unajenga ndani ya nafsi yako.
 
Mkuu umejibu vyema movie ya Sinners imeonesha jambo la muhimu kuhusu muziki, tuwe makini tunapozisikiliza nyimbo.
 
Back
Top Bottom