Nyimbo za taratibu sana/za huzuni zina madhara gani?

Mkuu nimeshangaa kuwa watu wanaosikiliza "gloomy sunday" inaaminika huwa wanajiua hasa wahungary imepelekea nyimbo iitwe "hungary suic!de song!"
Mtu anaeskiliza nyimbo za huzuni tayari ako na huzuni ndani yake so akipata msukumo anaweza akafanya mambo ya ajabu.. gloomy Sunday ni wimbo ambao uko na msukumo wa kujiua hasa kama umefiwa na mtu uliyewahi kumpenda sanaaa then ukawa unaskiliza huo wimbo while ungali upo kwenye huzuni asilimia za kujiua ni kubwa sana.
 
Kika nyimbo ina frequency yake. Na Kila frequency ina vibration yake.

Kusikiliza nyimbo za uzuni mara kwa mara maana yake unakuwa unavibrate in a low frequency.

Ukiwa kaika low frequency maana yake unakuwa katika dimension ya chini sana. Ni rahisi kuingilika na nguvu hadi(wengine huita nguvu za Giza).

Hapa ndiyo wachawi na watu wabaya hupata mlango wa kukuingia maana unakuwa katika vibration ya chine sana.

Hivi unajua kwenye majanga/matatizo mara nyingi hutokea series ya matatizo zaidi? Mfano kwenye msiba watu wengi hulia zaidi zikioigwa nyimbo za huzuni na wengine huanguka na kuzimia au hata kufa.

Kwa lugha rahisi ni mfano unajisikia baridi(upo katika vibration ya chini) alafu ukaingizwa kwenye chumba cha baridi(unasikiliza mziki wa huzuni ni kama unazidi kushusha zaidi vibration).

Mfano sikiliza hii nyimbo inaitwa "death bed song"utaniambia unajisikiaje.
 
Duh 😳 hata siisikilizi mkuu duh noma !
 
Nyimbo za huzuni zinanifanya niwe suicidal mbaya zaidi ndo uraibu wangu.

angel by the wings -sia
daylight - david kushner
wild child - enya
may it be -enya. etc.
 
Naam mule mule umegusia kiongozi.Nyimbo Za Huzuni Hushusha Frequency.
 
Naona kila nikiingia lazm nikute uz wako means kwa kila siku una uzi
Hapana uwe unaangalia na tarehe ya uzi + huwa napenda kudadisi mambo hivyo nyuzi nyingi huwa nauliza swali.
 
Nazipenda sana hasa nikiwa nimevuta chachuga natengeneza frequency yangu ya kipekee kwenye kwenye koromeo
 
Wimbo wa Wiz Khalifa - See you again hauna mdundo wa huzuni ila una mistari ya farewell na kwa muda uliotoka ulibeba huzuni sababu ya tukio. Ila mtu akiusikiliza bila kuona video wala kujua namna wimbo ulivyotungwa, hawezi kuhuzunika.

Upo wimbo wa msanii anaitwa Yirima ndio unasikitisha na kuhuzunisha, binafsi mimi sipendi kuusikiliza wala kuutazama. Huu hapa

View: https://youtu.be/fcdf9PsfdUc?si=yXZShR4pkPghjwYc
Madhara:
Zinatia uchungu zaidi, yaani kama umefiwa badala ya wimbo kukufariji, unakuongezea huzuni zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…