NI KWELI MKUU licha ya faida zake kusikiliza nyimbo hizo kuna madhara makubwa pia, pitia hapa:Mkuu ulikuwa kama mimi,nilikuwa nasikiliza sana,nyimbo za taratibu na zenye hisia,
Mfano, Chelsea Cutler_ sometimes(live in New York)
Ni very nostalgic song,baadae nikagundua ukiwa mtu wa kusikiliza sana hizo nyimbo,unaweza ukajidhuru pia