Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Mdelemaaa mdelema iki waniwela mdelema
kadete aka wiza mdelema giti ulu kasumba kane mdelema...!!


Bhagh'wise sulagi machimu ngongo kwashilile sulagi....!

Kama sio msukuma wa Nassa sio rahisi kuelewa nyimbo hizi...
Mimi kwetu Massanza Kona Na nimesoma Kiloleli Primary School mbona nazijua?
 

Huo wa baishoo huku kwetu uswazi tulikuwa tunaimba hivi

Bai shoo I love you baby the baby tuthesa thesa tu Ze yona the yona tothem them to the yona
Therewaa tu three fo Kata kona
 
Ukuuuti Ukuuuti wa mnazi wa mnazi ukija upepooo, wapepeaa

Namtafuta mke wangu namtafuta mke wangu. ...hapa yupo hapa yupo
Hi good morning morning morning, hi good Father's Day Father's Day.
Namtafuta rafiki rafiki rafiki, rafiki yako nani nani nani?

Rafiki yangu N'nyandikwa N'yandikwa N'yandikwa. Haya mchukue kue kue.
 
Kidea kidea, I love you nakupenda
 
Huo wa baishoo huku kwetu uswazi tulikuwa tunaimba hivi

Bai shoo I love you baby the baby tuthesa thesa tu Ze yona the yona tothem them to the yona
Therewaa tu three fo Kata kona
mule mule mkuu hizo the the hizo, zilikuwa kikwazo kikubwa... hahahaha
 
Kaka uo wimbo ulikuwa mtamu sana nakumbuka tulikuwa tunaimba uku tukiwa chin ya miembe na ndoo zetu kusubili embe zianguke,miguun peku,shati hakuna ni pensi tuu,kamasi linachuja linafutwa kwa kijanja tu,miguu michafuuuu baada ya kuoga mvua unarud om unapaka mafuta ya lezzi unameremeta kisha unaleta embe barazan unaanza kula kwa mbwembwe zooote.Daaaaah maisha yalikuwa zaman bhana sasa ivi hanasa tuuuu.
 
Namtafuta mkewanguu namtafuta mkewaguu...hapa hayupo hapa hayupo
Kaenda wapi kaenda wapiiii..kaenda kusuka kaenda kusuka

~Dada yangu ni rehema malaya anapenda kula chps na vijana,asbh na mapema sitendi kununu lile basi mologia...

~Ukuti ukuti wa nazi wana nziiii,mwenzetu kagongwa na nn na garii tumpeleke mnazi mmjoa asije kusema kwa baba yake piiiii piii pi mambo bado.

Zingine za kilugha
 
Nyingine - Ndindindi hebu ndindindi [emoji23]
 
Ana Ana Ana do,
Kachanika basto,
ispiringi matingo,
kajamba, ushuzi unanuka, tena sana, sana kabisa.
Nadhani huu wimbo ulikuwa wa kizungu ukaswahilishwa, kama kuna mtu anaujua asili yake anaweza kutuhabarisha.
Umesahau atawaze na maji ya moto hahahahahaha...
 
Amina rabi Aminaaa,
Amina rabi Aminaaaa,
Hilo shipa la mzee ali, dakitari kalishindwa,
kalitandikia jamvi, alikate kachumbari,

wale watoto wa tabata kimanga na mawenzi, huu wimbo ulitushika sana miaka hiyo.
 
mwanangu kua kua nikutume
nikutume wapi kwa mfalme
kuna ng'ombe zetu 12
mmoja kafa kaliwa nyani
nyani mkinda tumkindule
tusole visiga vya bwana chuma
bwana chuma gani simdodo
simkindu dawa kanabuba..

nadhani na kizaramo ndani humo wala tulikuwa hatujui maneno mengine maana ake nini😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…