Nyimbo za wasanii wa bongo ni upuuzi mtupu

Nyimbo za wasanii wa bongo ni upuuzi mtupu

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!
 
Muziki siku hizi sijui umekuaje? wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata,Ndombolo,Salute wala Sandakalawe,afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!!

Kwasasa wasanii wanaimba makopokopo tu,miaka ya zamani nyimbo zinalikuwa nyimbo hasa ,ukisikiliza inapenya hadi kwenye brain ila za sasa hakuna kitu zaidi ya makopokopo na matusi sijui mtaro mpelekee moto.
 
Wewe sandakalawe nasikia ime trend Colombia, Zimbabwe, Mauritius na Poland, views milioni 5 ndani ya wiki halafu unasema hamna kitu ?

Sema video inavyoaanza walikosea spelling wakaiita Sadakalawe sijui nikukurupuka 🤣👇
IMG_20210708_193905.jpg
 
Wewe sandakalawe nasikia ime trend Colombia, Zimbabwe, Mauritius na Poland, views milioni 5 ndani ya wiki halafu unasema hamna kitu ?

Sema video inavyoaanza walikosea spelling wakaiita Sadakalawe sijui nikukurupuka 🤣👇View attachment 1846086
Huyu ni mmakonde mwenzangu hanisumbui kichwa tunajijua wenyewe.
 
Wimbo wako uko wapi tukauthaminishe na hizo unazoziponda?

#Ya wasanii, waachie wasanii.
#Wewe endelea kuuza nyanya hapo buza.
 
Hivi shida ni nini!??
Au labda zinabamba disco..
 
Ukweli ni kuwa nyimbo zilizotoka hv karibuni ni za kisenge Sana , haziwez fika popote huwez kusikiliza ukarudia , Diamond alipotoa waah wimbo ulitembea Sana sababu ni wimbo mzur .....!!! Kwenye harusi na kila kumbi ya starehe wimbo ulipasua spika , Nani asililize kamata two times , what a non sense shit .....!! Watoe Ngoma zinazoeleweka , ukiacha nyumba ndogo ya Zuchu nasikiliza Sana Sana wimbo wa kiss wa Rayvanny na Bahati Kenya , sema vanny boy nae kuna wakat anaimba usenge , Ila anauwezo wa kutengeneza hitsong nzuri Sana za love song
 
Well said kamata wimbo wa kilofa,Sandakalawe ndo kabisaaa wa kifala +
 
Muziki siku hizi sijui umekuaje? wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata,Ndombolo,Salute wala Sandakalawe,afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!!
Watu hawaimbi mziki sasa hivi.

Watu wanaimba umaarufu.

Sio wanachoimba cha maana

Sio hamonaizi
SIo daimond
SIo alikiba.

Ndio maana napenda sana ngoma za hiphop kwa sababu ni watu ukiskiliza nyimbo zao unaweza kupata kitu zaidi ya hizi nyimbo za kipuuzi za hawa watu.

Magufuli baba lao
Wasafi baba laaao
MAAkondbaaba laaaaooo.

Ndio nini sasa ?

Nataka kukutoooooo toooo tooooo,kukutoa autiiiii uje kwanguuu...

Hivi kweli haya maneno ndo yanammalizia mtu Mb kabisa akaskiliza nyimbo kama hizi ?

Ndio maana wasanii wamegundua kwamba sasa hivi mziki sio unaimba nini bali una umaarufu gani,ndio maana wanatafuta kiki kwa kila namna.

Haya yote ni kwa sababu jamii yetu watanzania wajinga na watu tunaopenda mambo yasiyo na maana tupo wengi.

We angalia maudhui ya DINI ina viewers laki moja.

Maudhui ya nyegezi au nisafishe mtaro viewers 10M.

Yaani manake maudhui ya dini yanaangaliwa mara laki moja tu.

Na maudhui ya ujinga ujinga yanaangaliwa mara milioni kumi
 
Me nataka[emoji126][emoji445] kutoooooo totoooo[emoji41].....
 
Mimi nilishaacha kitambo sana kufuatilia nyimbo za bongo flavour. Hazina ujumbe bali zimejaa matusi matupu, sifa za kijinga, maneno ya ajabu ajabu na swaga za kishoga au umalaya.
 
Muziki siku hizi sijui umekuaje? wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata,Ndombolo,Salute wala Sandakalawe,afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!!
Kama huo sandakalawe ndio ujinga kabisa cjui wasanii wetu wanafikiria nini.
 
Wewe sandakalawe nasikia ime trend Colombia, Zimbabwe, Mauritius na Poland, views milioni 5 ndani ya wiki halafu unasema hamna kitu ?

Sema video inavyoaanza walikosea spelling wakaiita Sadakalawe sijui nikukurupuka 🤣👇View attachment 1846086
Ina maana crew nzima ya watayarishaji video hawakuona hili tatizo
 
kunduchii juu nipite pekupeku’ katoto kamelainika bhana [emoji39] nikape ndizi ya nyama
 
Watu wanatafuta hela.

Hata kwenye production vile vijinanda vyao unaskia kabisa viko shallow huwezi linganisha na naija au hata uganda. Sema watu kama uganda tunawazidi kwa kutumia kiswahili na tumeweza kuji brand kuliko wao ila production No.
 
Back
Top Bottom