Nyimbo za wasanii wa bongo ni upuuzi mtupu

Nyimbo za wasanii wa bongo ni upuuzi mtupu

Nakubali kua mziki wa bongo ni wa matukio, na ndio mana haudumu, lakini kwakweli ukiachana na uteam wa kisengesenge, Alikiba katoa nyimbo Nzuri sana!
 
Mondi ndo kabug big time hii kamata kwa kweli hapana kiitikio kibaya
 
Saiz nimegeukia gospel! Nikiwa zangu geto na mrembo natandika gospel tena zile za zamani...akina mapigano ulyankulu, fanuel sedekia, munishi n.k. Basi zinaletaga atmosphere fln kwamba yule ulie nae ndani pale ni wife material na hiyo familia ni familia iliyobarikiwa.
 
Nina hamu ya kutoooo……..!!

Ninataka kukutoooo……..!!

Maaaneenaa[emoji53]
 
Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!
Mkuu mimi ni shabiki wa bwana aliye imba kamata.
Ila kwenye Ngoma ya Salute acha kabisa kwetu ndo utafikiri imetolewa jana
Kila ukienda utaskia Salute salute salute....
 
Maudhui ya nyegezi au nisafishe mtaro viewers 10M.
Sample yako inaweza kuwa kweli au Uongo; Kuna usanii pia nyuma ya Viewers, zinatengenezwa; Hivyo usitumie sana hicho kama kigezo kikuu, unaweza kuta Hizo za Dini ni real, na hizo zingine usanii
 
Back
Top Bottom