Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Muziki siku hizi sijui umekuaje? wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata,Ndombolo,Salute wala Sandakalawe,afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!!
"we Dada nipe nyuma mbele mali ya mumeo"Kwasasa wasanii wanaimba makopokopo tu,miaka ya zamani nyimbo zinalikuwa nyimbo hasa ,ukisikiliza inapenya hadi kwenye brain ila za sasa hakuna kitu zaidi ya makopokopo na matusi sijui mtaro mpelekee moto.
Huyu ni mmakonde mwenzangu hanisumbui kichwa tunajijua wenyewe.Wewe sandakalawe nasikia ime trend Colombia, Zimbabwe, Mauritius na Poland, views milioni 5 ndani ya wiki halafu unasema hamna kitu ?
Sema video inavyoaanza walikosea spelling wakaiita Sadakalawe sijui nikukurupuka 🤣👇View attachment 1846086
Well said kamata wimbo wa kilofa,Sandakalawe ndo kabisaaa wa kifala +Ukweli ni kuwa nyimbo zilizotoka hv karibuni ni za kisenge Sana , haziwez fika popote huwez kusikiliza ukarudia , Diamond alipotoa waah wimbo ulitembea Sana sababu ni wimbo mzur .....!!! Kwenye harusi na kila kumbi ya starehe wimbo ulipasua spika , Nani asililize kamata two times , what a non sense shit .....!! Watoe Ngoma zinazoeleweka , ukiacha nyumba ndogo ya Zuchu nasikiliza Sana Sana wimbo wa kiss wa Rayvanny na Bahati Kenya , sema vanny boy nae kuna wakat anaimba usenge , Ila anauwezo wa kutengeneza hitsong nzuri Sana za love song
Watu hawaimbi mziki sasa hivi.Muziki siku hizi sijui umekuaje? wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata,Ndombolo,Salute wala Sandakalawe,afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!!
Kama huo sandakalawe ndio ujinga kabisa cjui wasanii wetu wanafikiria nini.Muziki siku hizi sijui umekuaje? wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata,Ndombolo,Salute wala Sandakalawe,afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!!
Ina maana crew nzima ya watayarishaji video hawakuona hili tatizoWewe sandakalawe nasikia ime trend Colombia, Zimbabwe, Mauritius na Poland, views milioni 5 ndani ya wiki halafu unasema hamna kitu ?
Sema video inavyoaanza walikosea spelling wakaiita Sadakalawe sijui nikukurupuka 🤣👇View attachment 1846086
📌Haya yote ni kwa sababu jamii yetu watanzania wajinga na watu tunaopenda mambo yasiyo na maana tupo wengi.