maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Genye hizi na mpichu wako huo balaa 😃 njoo upate kitu ya kimasaiMe nataka[emoji126][emoji445] kutoooooo totoooo[emoji41].....
[emoji1][emoji16][emoji1][emoji16][emoji1]Huyu ni mmakonde mwenzangu hanisumbui kichwa tunajijua wenyewe.
noma sanaNina hamu ya kutoooo……..!!
Ninataka kukutoooo……..!!
Maaaneenaa[emoji53]
Mkuu mimi ni shabiki wa bwana aliye imba kamata.Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!
Huyo jamaa huwa naona yuko overrated.Mkuu mimi ni shabiki wa bwana aliye imba kamata.
Ila kwenye Ngoma ya Salute acha kabisa kwetu ndo utafikiri imetolewa jana
Kila ukienda utaskia Salute salute salute....
Kabisa yaani anaimba kwa kutulia Ngoma ina hisia fulani hivi.Huyo jamaa huwa naona yuko overrated.
umeelewa maana ya overrated?Kabisa yaani anaimba kwa kutulia Ngoma ina hisia fulani hivi.
umeelewa maana ya overrated?
Ndo maana nikaanza na salute ndo ipo overrated any where unaiskiaumeelewa maana ya overrated?
Don williams - senorita [emoji445]
Sitaki shida mie...
Yupi sasa alieimba kamata au salute?Huyo jamaa huwa naona yuko overrated.
Saluti.Yupi sasa alieimba kamata au salute?
Hamu ya Kuto...mba ipo mkuu, ila si uajua haiwezi kutolewa kwa kusikilizia hizo 🎶Kwahiyo wewe huna hamu ya kuto…..?[emoji2377]
Sample yako inaweza kuwa kweli au Uongo; Kuna usanii pia nyuma ya Viewers, zinatengenezwa; Hivyo usitumie sana hicho kama kigezo kikuu, unaweza kuta Hizo za Dini ni real, na hizo zingine usaniiMaudhui ya nyegezi au nisafishe mtaro viewers 10M.