Nyimbo za wasanii wa bongo ni upuuzi mtupu

Haya ni maneno ya toka enzi na enzi kila kizaliwacho kinasifiwa cha nyuma.kwa upande wangu nikiambiwa nikosoe nyimbo za sasa
Nitakosoa matusi ya wazi wanayoweka .ambayo hata mtoto akianza kuimba unakimbilia chumbani kutafuta sehemu ya kujificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…