Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

Nyie mmefunga au mmebadilisha masaa ya kula...we mtu daku mpaka saa tisa unakula c mmebadil tu masaa ya kula hamjafunga....Afu Mungu fundi kuweka tumbo mbele c mchezo...aliona mbali
 
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami

Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu

Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
sio kwamba nakupinga ndugu yangu,mimi mwenyewe nimefunga lakini natamani ata kukatiza hii funga!!! sisi tunajifanya 2na imani sana lakini kiukweli sisi ni wanafiki wakubwa sana ndo manake MUNGU akashusha sura iitwayo {suratul munafiqun-sura ya wanafiki},,,nielezee sasa,nianze na wakristo alaf namalizia kwa waislam,,,kabla ya mfungo wa kwaresma,wakristo wengi walikuwa wakitenda kila ainaa dhambi,uzinzi,ushirikina,kusengenya wizi n,k,,,mfungo ulipoanza kwa sasa wengi wao{kwa waliofunga]wamesitisha dhambi kwa muda,lakini pindi funga ikiisha,na kuanzia siku ile sikukuu ya pasaka,nakuhakikishia ndio siku MUNGU anakasirika kwelikweli,gesti zitajaa,pombe zitanywewa sana,wake/waume za wa2 wazini sana,wizi utarudi kwa kasi,,,[UNAFIKI M2PU-BORA WANAOKULA],,,,,sasa niende kwa waislam,,,,hapa kuna viroja viwili,kiroja cha kwanza,kunakuwa na ndoa za chapchap kabla ya mwezi mtukufu wa ramadhan haujaanza,lengo ni kumdanganya MUNGU ili wapate kufurahia tendo la ndoa ilhali wengi wao wakijua wazi kwamba baada ya mfungo ndoa nyingi sana{sio zote] zitavunjika,,,sasa najiuliza ivi hawajui MUNGU anaona ya kesho??{upuuzi m2pu},,,,,kiroja cha pili cha kipuuzi ni hii ki2 inaitwa VUNJA JUNGU,,,yaani kama mfungo unaanza kesho mathalani,basi siku ya leo ni kuzini mwanzo wisho{paka mavuzi yananyonyoka] hauwezi kwenda gesti yoyote ukapata chumba,pombe,nyma ya nguruwe siku hiyo zitatumika kuliko maelezo{ sizungumzii dini ya adhimu ya kiislam naomba nieleweke,nazungumzia baadhi ya waumini wa kiislam] yaani wafanyacho wapuuzi hawa,ni sawa na kuvuta bangi mbele ya kituo ch polisi au ni sawa na kusimamisha defender la polisi na kuomba kibirti ili uwashe bangi,,na wanachofnya mbrle za MUNGU,,,sasa hapo,si ni bora hao wanaokula ovyo kuliko huu unafiki unaofanywa na sisi?
 
ivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami
Kwani wanaopika wanampikia nani?
Imeandikwa ''utakula kwa jasho lako''
sasa kam mtu kaishatoa jasho,kinachofuata nini kama siyo kula?
 
Sifaham Sana mambo ya Imani ila funga Yako 100% ni 0 maana kwa maneno yako unathibitisha hufungi kwaajili ya Mungu wako Bali watu wakuone

hv unafaham kama aliyefunga kwa kumaanisha huwa hahisi hiyo njaa unayohis ww? Waliowah kutana na hii Hali ya kutohis njaa watadondosha like zao hapa
 
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami

Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu

Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
Ufunge wewe niteseke mimi ? Tutaendelea kula kadri tunavyojisikia. Hatupangiwi simamia imani yako. Unatamanishwa kwa lipi ?
Niache kula kisa nini ?
 
Mkuu, ghairi tu kufunga, maana kwa tamaa hiyo ya kula na makasiriko hayo dhidi ya wanaokula, sidhani kama kuna thawabu tena hapo. Nashauri somo la mifungo lifundishwe vizuri katka nyumba za ibada, watu wasijekua wanashinda njaa huku wakidhani wanafunga.
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami

Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu

Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
, ahitisha tu hiyo funga
 
Nyie nukeni midomo na kupauka kama misukule...
Sio tu kula chakula mchana, bali pia Tunawala wake zenu na dada zenu na minguo yao mchana kweupe 😂😅
🤣🤣🤣hapa chawa kazimia
Ukiongezea na kukanwa na kizmkazi leo,kwishaaa habari yake.
 
Mkuu, ghairi tu kufunga, maana kwa tamaa hiyo ya kula na makasiriko hayo dhidi ya wanaokula, sidhani kama kuna thawabu tena hapo. Nashauri somo la mifungo lifundishwe vizuri katka nyumba za ibada, watu wasijekua wanashinda njaa huku wakidhani wanafunga.

, ahitisha tu hiyo funga
Kama ana akili timamu,bora asishinde njaa
 
Kuna muda busara ikuongoze uwe mkristu au uwe muislamu, maisha ni mafupi sana haya.
 
Unahangaikia wapi wewe?
Jali mambo yako na Imani yako tu haya mengine hayakuhusu
Unanisifia majizi na matapeli
Fuata uongo huo ila usishawishi watu kama wewe na familia yenu mmepotea kwa ujinga wa huo basi tuache na dini yetu sana
Uwe na Imani yako na mengine hayakuhusu sawa
This will be my last conversation with you
Have a nice one
kwani dini imekusaidia nini ndugu? wazo tu hilo ambalo mtu alilileta duniani, binafsi hata dini yangu hainisaidii, ila Wokovu kwa Yesu Kristo ndio umenisaidia hadi macho yangu yakafumbuka.
 
Labda kipindi hiki mifereji itaota majani lakini muda huu ukiisha hakuta kuwa na Jani hata Moja ni mwendo kupalilia tu
 
Back
Top Bottom