Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Wakati mwingine unaweza kumchallange kijana humu mwisho anakunanga oooh nyie wazee bana, oooh we unajua nini, ooh kwani lazima ureply!!.

Haya wewe umeandika mambo yako hapa japo target ni huyo mwenzako sijui bartaza, main point ilikuwa adhabu ila umepeperushwa na porn kwa kushindwa kuandika...

Ni adhabu gani uliyopata?.
 
Mbona

Kama unataka sema unaona aibu hapa kwa watu ww nakutumia utafungua siku ukibanwa sawa ahahaha
🤣🤣🤣Ningetaka nisingekosa, kipindi nafatilia connections nilikua na watu wangu aseeee,,niliishia ile ya uwoya baada ya hapo sitaki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…