Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

BWANA awe nanyi wana wa MUNGU

Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba

Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona

Kuna nyakati niliishi kwenye zambi sana lakini MUNGU ni MWAMINIFU alinitoa huko akanipa neema au baraka au zawadi ya uwongofu

Si kwamba sitendi zambi kabisa hapana kuna mda kama mwanadamu unajikuta umeanguka, kuna mda ukianguka MUNGU anashusha fimbo hapo hapo kuna mda anasamehe kabisa kama hakijatokea kitu

Sasa bas toka baltazar atrend nilijizua kuzama uchafu ule maana mimi huwa sitazami kabisa porn kwakuwa kutazama porn ni dhambi kubwa sana na ni lango la adui kwa ajili ya kutukosanisha na MFALME aliyetuumba

Lakini kadri makelele yalivyo kuwa yakizid nikajisemea ebhu ngoja nitazame kama mbili tatu hivi Kwan kuna nini

Alooo usiku nilipo lala BWANA MUNGU kaniletea mapigo makali sana kama adhabu kwanini nilitazama uchafu ule

Najuta sana kutazama uchafu ule kwakweli
Na ninashukuru sana kuona kwamba kumbe ROHO wa MUNGU yu pamoja nami

Lakin sasa naomba kuwauliza ninyi wezangu je huwa hampati mapigo yeyote yale juu ya dhambi na uovu mnaotenda?

Moderater msiunganishe huu uzi na zile nyuzi za baltazar

Asante sana BWANA YESU KRISTO

LONDON BOY
Labda umeadhibiwa na wazazi wako kwa makosa ya maadili, sio kwa dhambi. Adhabu ya dhambi haipo hapa duniani
 
Mm
Mapigo yapi? Nami nimeziona Mr. Kanionyesha kwa simu yake.. Kwa kweli huyo alikuwa mmmmmh kama kaugonjwa au jinamizi fulani analo kupata raha kwa hayo.

Na challenge yake ipo wanawake na wanaume wamepata dance style mpya 😂😂😂
Nimeichukua ile ya kuweka mikono kwenye kifua ile
 
In spiritual ile sio bahati mbaya ni mpango kabisa wa kuchafua nafsi za wanadamu

Mkakati ulikuwa ni watu maarufu so Kila mmoja atavutiwa

kuzitazama hivyo gharama yake ni kubwa Sana kwa MTU anauemcha Mungu kutazama huo uchafu
Najuta sana mtumish

Sikuwa na lengo kabisa la kutizama lakini baada ya makelele kuzidi nikasema hebu ngoja na mie nitazame kumbe ndo nilikuwa napotea

Lakin nashukuru nimejifunza jambo
 
Sasa wewe unajua kabisa kutazama pounds ni dhambi na Roho wa Mungu amekupnya lakini bado ukafanya shingo ngumu. Lazima upate mapigo na shukuru kwakuwa kila mwana apendwaye hurudiwa na Baba. Wewe ni mtoto wa Mungu usirudie tena hayo mauchafu. Halafu nakushangaa unavyouliza wengine kwani wao wamemwamini Yesu na kufanyika watoto wa Mungu? Iwapo mtu hahatuhu na kumpokea Yesu, Roho wa Munhu hawezi kuingia ndani yake na ikiwa mtu teyote hana Roho wa Kristo huyo sio wake na hawezi kudikia hukumu ktk matendo maovu kwakuwa dhamiri yake imekufa ganzi.
Asante kaka yangu

Nimejifunza kitu kikubwa sana hiyo jana, nashukuru sana kwa MUNGU MWENYEZI

Uovu una watu wake na wema una watu wake
 
BWANA awe nanyi wana wa MUNGU

Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba

Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona

Kuna nyakati niliishi kwenye zambi sana lakini MUNGU ni MWAMINIFU alinitoa huko akanipa neema au baraka au zawadi ya uwongofu

Si kwamba sitendi zambi kabisa hapana kuna mda kama mwanadamu unajikuta umeanguka, kuna mda ukianguka MUNGU anashusha fimbo hapo hapo kuna mda anasamehe kabisa kama hakijatokea kitu

Sasa bas toka baltazar atrend nilijizua kuzama uchafu ule maana mimi huwa sitazami kabisa porn kwakuwa kutazama porn ni dhambi kubwa sana na ni lango la adui kwa ajili ya kutukosanisha na MFALME aliyetuumba

Lakini kadri makelele yalivyo kuwa yakizid nikajisemea ebhu ngoja nitazame kama mbili tatu hivi Kwan kuna nini

Alooo usiku nilipo lala BWANA MUNGU kaniletea mapigo makali sana kama adhabu kwanini nilitazama uchafu ule

Najuta sana kutazama uchafu ule kwakweli
Na ninashukuru sana kuona kwamba kumbe ROHO wa MUNGU yu pamoja nami

Lakin sasa naomba kuwauliza ninyi wezangu je huwa hampati mapigo yeyote yale juu ya dhambi na uovu mnaotenda?

Moderater msiunganishe huu uzi na zile nyuzi za baltazar

Asante sana BWANA YESU KRISTO

LONDON BOY
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom