Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Labda umeadhibiwa na wazazi wako kwa makosa ya maadili, sio kwa dhambi. Adhabu ya dhambi haipo hapa duniani
 
Mm
Mapigo yapi? Nami nimeziona Mr. Kanionyesha kwa simu yake.. Kwa kweli huyo alikuwa mmmmmh kama kaugonjwa au jinamizi fulani analo kupata raha kwa hayo.

Na challenge yake ipo wanawake na wanaume wamepata dance style mpya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeichukua ile ya kuweka mikono kwenye kifua ile
 
In spiritual ile sio bahati mbaya ni mpango kabisa wa kuchafua nafsi za wanadamu

Mkakati ulikuwa ni watu maarufu so Kila mmoja atavutiwa

kuzitazama hivyo gharama yake ni kubwa Sana kwa MTU anauemcha Mungu kutazama huo uchafu
Najuta sana mtumish

Sikuwa na lengo kabisa la kutizama lakini baada ya makelele kuzidi nikasema hebu ngoja na mie nitazame kumbe ndo nilikuwa napotea

Lakin nashukuru nimejifunza jambo
 
Asante kaka yangu

Nimejifunza kitu kikubwa sana hiyo jana, nashukuru sana kwa MUNGU MWENYEZI

Uovu una watu wake na wema una watu wake
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…