Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

1. Ndio picha zipi hizo za bartazar?
2. Hujasema ni adhabu gani unapewa ili tuichanganue kama hiyo adhabu unajipa mwenyewe kwa kuwaza ama ni adhabu kama adhabu. Changanua.

Jamani nje ya mara. Natafuta kile KIKO Babu zamani walikuwa wanavutia tumbaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…