Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Unasema unadhmbi kisa kutiana 🀣🀣🀣

Na Hao kina Nethanyahu huko na kina Hamaz wanao Uwana na wao wasemaje!?
 
Aaah navutia hisia kwa jamaa naempenda,utatoka tu kwa lazima,, hahahaha πŸ˜‚
Duuuh! Basi kama ni hivyo tunapigwa sana aisee 🀣😭 unajiona unamwandaa vizuri kumbe ni imagination ya jamaa mwingine ila nyie viumbe
 
Sasa niumie na naeza jisaidia we vip bwan πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna jamaa umemuweka kama factory reset ama default kwenye head yako? πŸ˜‚ Ngoja siku akuumize, utaenda kuki-flash hicho kichwa.
 
Hii bar ina warembo wakare sijapata kuona dunia nzima, japo sina pasi ya kusafiria.
 
Duuuh! Basi kama ni hivyo tunapigwa sana aisee 🀣😭 unajiona unamwandaa vizuri kumbe ni imagination ya jamaa mwingine ila nyie viumbe
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 yaani tunawaweza nyie jamani basi tu hamshtuki
 
Labda umeadhibiwa na wazazi wako kwa makosa ya maadili, sio kwa dhambi. Adhabu ya dhambi haipo hapa duniani
Vip kuhusu watu wa sodoma mtumish

Vip kuhusu yuda Iscariot

Haikuwa hapa hapa dunian?
 
Kuna jamaa umemuweka kama factory reset ama default kwenye head yako? πŸ˜‚ Ngoja siku akuumize, utaenda kuki-flash hicho kichwa.
never say never πŸ˜‚naanza kuimba nyimbo za maua sama yaani muhimu kitu kije aseeee mbinu zotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…