Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Unasema unadhmbi kisa kutiana 🤣🤣🤣

Na Hao kina Nethanyahu huko na kina Hamaz wanao Uwana na wao wasemaje!?
 
Aaah navutia hisia kwa jamaa naempenda,utatoka tu kwa lazima,, hahahaha 😂
Duuuh! Basi kama ni hivyo tunapigwa sana aisee 🤣😭 unajiona unamwandaa vizuri kumbe ni imagination ya jamaa mwingine ila nyie viumbe
 
Sasa niumie na naeza jisaidia we vip bwan 😂😂
Kuna jamaa umemuweka kama factory reset ama default kwenye head yako? 😂 Ngoja siku akuumize, utaenda kuki-flash hicho kichwa.
 
BWANA awe nanyi wana wa MUNGU

Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba

Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona

Kuna nyakati niliishi kwenye zambi sana lakini MUNGU ni MWAMINIFU alinitoa huko akanipa neema au baraka au zawadi ya uwongofu

Si kwamba sitendi zambi kabisa hapana kuna mda kama mwanadamu unajikuta umeanguka, kuna mda ukianguka MUNGU anashusha fimbo hapo hapo kuna mda anasamehe kabisa kama hakijatokea kitu

Sasa bas toka baltazar atrend nilijizua kuzama uchafu ule maana mimi huwa sitazami kabisa porn kwakuwa kutazama porn ni dhambi kubwa sana na ni lango la adui kwa ajili ya kutukosanisha na MFALME aliyetuumba

Lakini kadri makelele yalivyo kuwa yakizid nikajisemea ebhu ngoja nitazame kama mbili tatu hivi Kwan kuna nini

Alooo usiku nilipo lala BWANA MUNGU kaniletea mapigo makali sana kama adhabu kwanini nilitazama uchafu ule

Najuta sana kutazama uchafu ule kwakweli
Na ninashukuru sana kuona kwamba kumbe ROHO wa MUNGU yu pamoja nami

Lakin sasa naomba kuwauliza ninyi wezangu je huwa hampati mapigo yeyote yale juu ya dhambi na uovu mnaotenda?

Moderater msiunganishe huu uzi na zile nyuzi za baltazar

Asante sana BWANA YESU KRISTO

LONDON BOY
Hii bar ina warembo wakare sijapata kuona dunia nzima, japo sina pasi ya kusafiria.
 
Labda umeadhibiwa na wazazi wako kwa makosa ya maadili, sio kwa dhambi. Adhabu ya dhambi haipo hapa duniani
Vip kuhusu watu wa sodoma mtumish

Vip kuhusu yuda Iscariot

Haikuwa hapa hapa dunian?
 
Kuna jamaa umemuweka kama factory reset ama default kwenye head yako? 😂 Ngoja siku akuumize, utaenda kuki-flash hicho kichwa.
never say never 😂naanza kuimba nyimbo za maua sama yaani muhimu kitu kije aseeee mbinu zotee
 
Back
Top Bottom