Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

BWANA awe nanyi wana wa MUNGU

Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba

Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona

Kuna nyakati niliishi kwenye zambi sana lakini MUNGU ni MWAMINIFU alinitoa huko akanipa neema au baraka au zawadi ya uwongofu

Si kwamba sitendi zambi kabisa hapana kuna mda kama mwanadamu unajikuta umeanguka, kuna mda ukianguka MUNGU anashusha fimbo hapo hapo kuna mda anasamehe kabisa kama hakijatokea kitu

Sasa bas toka baltazar atrend nilijizua kuzama uchafu ule maana mimi huwa sitazami kabisa porn kwakuwa kutazama porn ni dhambi kubwa sana na ni lango la adui kwa ajili ya kutukosanisha na MFALME aliyetuumba

Lakini kadri makelele yalivyo kuwa yakizid nikajisemea ebhu ngoja nitazame kama mbili tatu hivi Kwan kuna nini

Alooo usiku nilipo lala BWANA MUNGU kaniletea mapigo makali sana kama adhabu kwanini nilitazama uchafu ule

Najuta sana kutazama uchafu ule kwakweli
Na ninashukuru sana kuona kwamba kumbe ROHO wa MUNGU yu pamoja nami

Lakin sasa naomba kuwauliza ninyi wezangu je huwa hampati mapigo yeyote yale juu ya dhambi na uovu mnaotenda?

Moderater msiunganishe huu uzi na zile nyuzi za baltazar

Asante sana BWANA YESU KRISTO

LONDON BOY
Kwahiyo uzinzi ndo dhambi peke yake? Au hutendi/hufanyi dhambi? Usimsingizie Mungu! Umepigwa na mashetani yako!
 
Ahahah naona anapata gono mwisho wa siku na kuwa na watoto wengi zaidi
😅 Itakuwa huko EQ G hakunaga gono wala magonjwa. 400 wote si angekuwa ashafungiwa mrija anatembea na mfuko wa kukojolea?

Huku bongo 10 tu unaweza kuanza kutembea kama umebana tikiti kwenye sehemu za siri.
 
BWANA awe nanyi wana wa MUNGU

Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba

Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona

Kuna nyakati niliishi kwenye zambi sana lakini MUNGU ni MWAMINIFU alinitoa huko akanipa neema au baraka au zawadi ya uwongofu

Si kwamba sitendi zambi kabisa hapana kuna mda kama mwanadamu unajikuta umeanguka, kuna mda ukianguka MUNGU anashusha fimbo hapo hapo kuna mda anasamehe kabisa kama hakijatokea kitu

Sasa bas toka baltazar atrend nilijizua kuzama uchafu ule maana mimi huwa sitazami kabisa porn kwakuwa kutazama porn ni dhambi kubwa sana na ni lango la adui kwa ajili ya kutukosanisha na MFALME aliyetuumba

Lakini kadri makelele yalivyo kuwa yakizid nikajisemea ebhu ngoja nitazame kama mbili tatu hivi Kwan kuna nini

Alooo usiku nilipo lala BWANA MUNGU kaniletea mapigo makali sana kama adhabu kwanini nilitazama uchafu ule

Najuta sana kutazama uchafu ule kwakweli
Na ninashukuru sana kuona kwamba kumbe ROHO wa MUNGU yu pamoja nami

Lakin sasa naomba kuwauliza ninyi wezangu je huwa hampati mapigo yeyote yale juu ya dhambi na uovu mnaotenda?

Moderater msiunganishe huu uzi na zile nyuzi za baltazar

Asante sana BWANA YESU KRISTO

LONDON BOY
Nimeangalia "avatar " yako nimeona wewe ni mtenda dhambi kama wengine? Unajua dhambi ya "tattoo" na uzinzi ni sawa? Zote zinafanyika juu ya mwili!

1 Wakorintho 3:17
[17]Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi"
 
😅 Itakuwa huko EQ G hakunaga gono wala magonjwa. 400 wote si angekuwa ashafungiwa mrija anatembea na mfuko wa kukojolea?

Huku bongo 10 tu unaweza kuanza kutembea kama umebana tikiti kwenye sehemu za siri.
Ila tutegemee watoto wengi
 
😂😂Kataa ndoa pole sana na usiku mwema
Siwezi kuwa kataa ndoa wewe, nipo na babe pembeni hapa ila sitaki usumbufu🤣. Ngoja nilale kesho niwahi ibada!
 
Hahahaha kumbe wewe safi kabisa 😂😂🚶🏾‍♀️
 
Back
Top Bottom