Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

Sasa huyo ni nyoka au Jini pepo? Amepatikana wapi?

Huyu Sasa ndio Shetani mwenyewe,Kwa Urembo huo Eva asingechomoa.
 
Mhhhh mhhhh em subili kwanza.
 
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.

Nilivyofika hizi sehemu hapa, nikaomba tu nishushwe kituo kinachofuata maana nitakuwa nimefika kanisani
 
Hadithi kama hizi wasimulie watoto wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…