Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Ha ha ha,kukesha tena?Kwenye ibada hukwenda, unaamka saa nane mchana. Kwani ulikesha? π π π
π€£π€£π€£π€πNimekunywa chai yenye chumvi
Kama hujakesha, imekuwaje umeamka mchana leo? π πHa ha ha,kukesha tena?
Thamnophis sirtalis tetrataeniaMbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
πView attachment 2530182
Nilijihimu alfajiri ...saa 10 kufuaKama hujakesha, imekuwaje umeamka mchana leo? π π
Afu nilitoa na offer ya kutulia watu kule Usiku wa mananeKama hujakesha, imekuwaje umeamka mchana leo? π π
Sijaiona hiyo offer π πAfu nilitoa na offer ya kutulia watu kule Usiku wa manane
Hongera zakoNilijihimu alfajiri ...saa 10 kufua
Usiku wa manane Kwa I'd hii hii....watu wakajibu wanadrycleanerSijaiona hiyo offer π π
Asante sanaHongera zako
Nilichelewa ile offer. Ngoja nisubirie offer nyingine π πUsiku wa manane Kwa I'd hii hii....watu wakajibu wanadrycleaner
Uje tulale wote,ila ukumbuke kunishtua saa 11 Ili nijiandae to jobNilichelewa ile offer. Ngoja nisubirie offer nyingine π π
Sema tulia na jina moja, unabadili sana majina wewe. Baki na To Yeye π π πAsante sana
Sisi wazee wa night kali, hapa ndio kumekucha. Hakuna kulala, soon tunasogea kwenye Uzi wetu πUje tulale wote,ila ukumbuke kunishtua saa 11 Ili nijiandae to job
Kule napumzika naendaSema tulia na jina moja, unabadili sana majina wewe. Baki na To Yeye π π π
Mi nalala,Usiku mwemaSisi wazee wa night kali, hapa ndio kumekucha. Hakuna kulala, soon tunasogea kwenye Uzi wetu π
Asante mrembo. Na kwako pia.Mi nalala,Usiku mwema
BarikiwaAsante mrembo. Na kwako pia.