The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Ina maana alishakaa meza moja nao hivyo ana majibu yote!Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea ufafanuzi hivi karibuni.
34500Sie wengine hatujui hesabu kwa wanao jua toeni maelekezo, 150,000 kwa 23% ongezeko lake linakuwa kiasi gani?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa hovyo kuwahi kuongoza Tz, anadepend kwa Mwigulu ambaye ni competitor wake, Mwigulu ni spareware.Sie wengine hatujui hesabu kwa wanao jua toeni maelekezo, 150,000 kwa 23% ongezeko lake linakuwa kiasi gani?.
Sent using Jamii Forums mobile app