Nyongeza ya mishahara TUCTA wamasema wamepokea malalamiko, watatoa tamko

Nyongeza ya mishahara TUCTA wamasema wamepokea malalamiko, watatoa tamko

Usidhani umejifocha humu kwa kutoa kashfa kwa Mamlaka,sheria ya makosa ya mitandaoni haijafutwa..

Kwa hiyo wewe kibwengo ndio unajua saana Mwigulu kuliko Rais si ndio?

Acha kuropoka mambo usiyoyajua utakuja kula hasara ya mazima.
we kima acha vitisho vyako vya kijinga
 
Mjini tu?!
Seems huelewi mambo mkuu🤔

Mijini Tu nakwambia

Huku mpekenyela hawajui hata mbowe ni Nani

Ukiwa Field ndio utajua ukweli wa Jambo hiki

Au pima Kwa kipimo cha mbio za mwenge, Arusha mwenge unapita hakuna mtu anahabari nao,

Njoo wilayani na vijijini uone kazi
 
Hiyo nyongeza kabla
Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao.

Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea ufafanuzi hivi karibuni.

Kabla nyongeza haIjatoka wiijua vizuri viwango vyake na waliiafiki. Wanachofanya sasa ni kuwalaghai tena wafanyakqzi kuwa wanawatetea wakati wao ndio adui mkuu wa wafanyakazi.

Waswahili walisema wajinga ndio waliwao ( methali).

Chochote ambacho serikali iimepanga kuwapa wafanyakazi ndivho watakachopata hata kama vyama vya wafanyakazi havipo.

Siku wafanyakazi wakijitambua ndio utakuwa mwisbo wa hivyo vinavyoitwa vyama vya wafanyakazi
 
TUKTA mimi ni mtumishi wa Umma wa muda mrefu sana.
Mwezi huu wa Julai 2022 sijaongezewa hata Mia Kavu katika mshahala wangu.

Nichukue hatua gani ?
 
Mwigulu anamvizia mama 2025. Mama naye hajui hili.
1. Tozo nyingi
2. Kupanda gharama za maisha
3.Upendeleo ajira
4.....
6.....
Rais akusema Waziri hatekelezi. Hasira zinabaki kwa mama.

Tutegemee utendaji kazi mbaya kywahi kutokea.

Bora asingetamka
Katika awamu zote zilizo pita mpka wawmu hii ya 6 hakuna wafanyakazi waliofanya kazi kwa kujituma kama awamu ya 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao.

Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea ufafanuzi hivi karibuni.
Nam pia nilikimbia huu utumwa mara tu jiwe alipopewa nchi. Now nakula Bata tu aisee.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Yaani Babu Tale anakula hela kuliko hata wahudumu wa vituo vya afya wanaohangaika huko vijijini, wagonjwa 30 mpaka 50 kwa siku na kupandishiwa mshahara mpaka aombe, hii nchi ina vichekesho sana
 
Eti...wanadai walikuwa wanamategemeo ya kuongezewa kiasi kikubwa, hivyo wanadai nyingeza hii imeshusha ari yao lakini pia imewaongezea msongo wa mawazo!!!

Huu ni unafiki mkubwa, sioni sbabu ya kung'ang'ania kubaki na ujira mdogo, kama kuna mtu au watu wasio ridhika na nyongeza nenda katatufa ajira kwengine, vinginevyo ukibaki halafu ukaanza kuhujumu shughuli za Serikali utaumizwa zaidi.

Nyongeza hiyo ni ndogo lakini ndio uwezo wa Serikali yetu.....unakubali chukua hataki acha,

Tunaiomba Seriakali ianze kufuatilia wale ambao wanalalamika ili iwaachishe kazi kwa masilahi ya umma.
 
Back
Top Bottom