Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sukuma gang wanakomeshwa
Hapana hawakomeshwi, bali wanazidi kuonekana walikuwa wa maana kwa kutokuongeza mishahara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang wanakomeshwa
Bora muungano ufeee....Kila mtu ajue lakeHahahaha,huko Zenji mambo safi bara tulieni sindano iwaingie barabara.Tunaijenga Zanzibar Kwanza mlitunyonya mno
Aiseee vitz na lexusWhat they expected on the left
What they have got on the right
Kama hutaki acha kaziView attachment 2300350
Ingeweka wazi tu.Serikali ilikuwa haina uwezo wa kulipa hiyo mishahara kwa ongezeko tajwa
Hivi leo hii tunaishi Kwa miradi hiyo??Heri kusema ukweli kuliko kuendekeza siasa...ni vigumu sana ukiwa na miradi mikubwa miwili ya Umeme na reli ujaea na uwezo wa kuongeza mishahara wafanyakazi wanavyotaka.nina uhakika hii miradi ikikamilika serikali itakuws ba uwezo wa kulip kiasi chochote pendekezwa
Angekuwa na weredi angekaa zoom meeting na wehu wenzie na wanasheria leo jumapili wangeshusha vitu vizito kama wale wanaume wa miaka ile. Maridhiano ya niniView attachment 2300531Majibu yake
Watumishi wa nchi hii ni wapumbavu ndugu yangu, wakipewa kazi kama hizi za sensa, kusimiamia mitihani na kusimamia upigaji wa kura wanaona kama wamependelewa sanaAnguko la uvccm
Duuuh!!Asante sana kwa andiko bora sana, hakuna namna ya kujitetea au kutetewa, siwezi kuacha kazi japo natamani ningekuwa na uwezo ningeacha, kilichopo ni kuiibia serikali hadi kieleweke. Hili tulitegemee sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Katiba Mpya itaainisha namna ya kupata hao wasimamizi kwa haki, so watakuwa ni halali na watatenda HAKI., Siyo hao haramu waliopatikana kwa wizi, unyang'anyi, udanganyifu na hila!!!!
Naam..Vyovyote itakavyoeleza Ila hao wasimamizi watakuwa chini ya Rais au Chini ya mamlaka flan ambayo yanaongozwa na mtu
Naam..
Huyo rais atakuwa amechaguliwa na umma kihalali kupitia sanduku la kura
Kukiwa na Tume Huru ya Uchaguzi, Kura za ccm zisipotosha mtafanyaje?!Kwa Tanzania hata kama kila mtanzania atapiga Kura ya wazi,
Upinzani hauwezi kutoa Rais never
Labda huko kwenye wabunge tena sio mikoa yote
Kukiwa na Tume Huru ya Uchaguzi, Kura za ccm zisipotosha mtafanyaje?!
Mjini tu?!Tatizo mitandao inawadanganya Sana, mnaona kabisa lisu au mbowe anaweza kumchallange candidate wa ccm never
Elimu ya vyama vya upinzani ipo mijini Tu tena sio miji yote
Kwa case ya urais upinzani kushinda ni bado Sana
Na wanasiasa wa upinzani ndio wanalia na katiba mpya wao wanataka iwasaidie kuingia kwenye serikali
Hakuna mwanainchi wa kawaida ambao ndio wengi et wako busy na katiba mpya