Nyongeza ya mishahara TUCTA wamasema wamepokea malalamiko, watatoa tamko

Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao.

Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea ufafanuzi hivi karibuni.
CCM OYEEE
 
Pale ambapo unaenda kumlalamikia FISI mwenye NJAA kuhusu nusu kilo ya nyama uliyopewa.

Haya mavyama ya wafanyakazi ndio yanaongoza kudidimiza Wafanyakazi.

Hapo kwenye hicho kidogo kilicho ongezwa na wao WAMEKATA tena.
 
What they expected on the left

What they have got on the right

Kama hutaki acha kazi
IMG-20220722-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom